Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

huyu anaungulika tu ila ajajikaza asiwaangushe team yake ambao wamekuwa wakimnasibisha na ustrong woman..... inakuwa Kama mtoto mdogo akianguka na ukamsifia kwamba ameruka basi kitajikaza kisilie kumbe kimeumia
Wewe bado sana wanawake unaowaona wanaumia kwa ajili ya mapenzi wengi hawaumii kwa sababu eti ya dudu ni hela, mwanamke mwenye hela katu hawezi kuumizwa na mapenzi na huyo haipoti muda utamuona yupo na mtu na anaenjoy kama kawaida hawa wakwetu huku akiachwa wanatetereka kwa kuwa wanavitabia vya kumtegemea mwanaume kwa kila kitu!
 
Huyu Hamisa hana akiliii kabisaa....na kitu kibayaa Zaidii kuna wanawake wanaushangiliaa huu ujinga anaoufanyaa...Aliyesema wanawake akili tuna akili 1 hakukoseaa....Maana mtu anafanya ujinga wa kiwango cha juu kabisa unafurahiaa na kumshangiliaa kisa amemkomesha fulanii....At the End unapata faida gani mwanamke mwenzio anapoumizwaa.....Mungu endeleaa tu kutuadhibu wanawake tunaofurahiaa matatizo ya wanawake wenzetu....Na Inavoonesha huyu mtoto hiyo mimba aliitegeshaa maana viakili vya kijingaa kwelii....Mwanamke anayejiheshimu angekaa kimya na kumlilia Mungu wake kama amekataliwa...
 
Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
.wewehamisa na mange wote akili zenu sawa....akili na mtazamo wenu ni za msingi papuchi...siku ukipigwa superglue kweye hyo papuchi inayokuweka mjini you will be as good as dead...katija maisha yenu yote ya hapa duniani na hata motoni baada ya kufa hamtafikia even nusu ya ustaarabu and elegance ya zarinah khassan..
 
Wengi wa Dada zetu wa kibongo as long as anakomolewa Zari wanafurahia wakati Hamisa ndio anajipotezea hivyo atakuja kujuta, hakuna kitu wanaume tunapenda kama sidechick anayekubali na kuheshimu kuna no1 na ukiwa hivyo unaweza hata kupindua nyumba kubwa! Sasa unafuata ushauri wa Mange ambaye ana F ya mahusiano kumbe unaharibu future ya dogo
 
Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
True
 
watu mnagombania mwendokasi ila mnajifanya mnadiss bentley // wabongo bwana kazi kudiss vitu hamuwezi afford / kila mtu anangoneka but kila mtu ana bentley / **** people feelings / mwenzenu anaumia ndan ya bentley nyie mnaumia tu ndani ya nyumba ya kupanga acheni ufala
Hilo bentley lenyewe Zari sio lake ni la shoga yake Zodwa...aliwadanganya mashabiki wake akaja umbuliwa hana cha bentley wala bubu....apambane na hali tuu
 
Hilo bentley lenyewe Zari sio lake ni la shoga yake Zodwa...aliwadanganya mashabiki wake akaja umbuliwa hana cha bentley wala bubu....apambane na hali tuu
Weka ushahidi Kama sio yake.
 
Na labda raha ya mwenzio ni kuwa na mwanaume mwenye eka eka km izo, leo zari, kesho dillish, Mara baadaye hamisa hahaha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana jamani hizi heka heka za domo zimezidi,
 
Wewe bado sana wanawake unaowaona wanaumia kwa ajili ya mapenzi wengi hawaumii kwa sababu eti ya dudu ni hela, mwanamke mwenye hela katu hawezi kuumizwa na mapenzi na huyo haipoti muda utamuona yupo na mtu na anaenjoy kama kawaida hawa wakwetu huku akiachwa wanatetereka kwa kuwa wanavitabia vya kumtegemea mwanaume kwa kila kitu!
Ni ukweli, ukiwa tegemezi kwa mwanaume mkiachana unaweza kufa kwa machungu, ila ukiwa independent mkiachana leo asubuhi unaendelea na mambo yako, ndio maana huwa sitaki hata mia ya mwanaume labda anipe kwa raha zake ili ukinichosha dakika hio nikunawe

Namuonea huruma hamisa, marafiki zake kina dillish,Jackiegarade etc wanamiliki biashara, wanafanya vitu vinaeleweka, hamisa ulitakiwa uwe unaown projects zako ila hio akili huna,na mama yako nae inaonekana mnasubiria hela ya kudanga mama nae anapenda mambo makubwa..

Kwanini unakubali kuzaa na domo, kama mtoto wa kiume tayari anaye yani hakuna jipya ulilolifanya, unamkomoa zari kwani alikukosea nini? Mimi ningekuwa wewe ni kumchuna tu mondi lakini kuzaa nae big no, kumbuka atakuja mwingine kumzalia domo, unajiongezea watoto wenye baba tofauti, Hamisa ni mzuri ila bahati mbaya kichwani Mungu alikunyima akili...hivyo unatumia akili za chini kuwaza about your future
I pity you.....
 
Hivi Wema bado anamlilia Diamond maana naona anampiga madongo Zari wakati Zari yuko 10 times better looking than her? Kwenu nyie followers wa team za kijinga, hivi mnapata faida gani kushabikia mtu anapigwa pumbu au ananyimwa? Nitamwambia rais Mkapa aje kuwatukana, shauri yenu....ohooooooo!
 
Back
Top Bottom