Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hapo, shobo za kijinga tu. Uko na mtu mwenye hela zake lkn hakuna cha maana hata kimoja alichokufanyia. Km sio upuuzi huo.Unaweza kuta hapew hata mia 😀😀😀😀
Wewe bado sana wanawake unaowaona wanaumia kwa ajili ya mapenzi wengi hawaumii kwa sababu eti ya dudu ni hela, mwanamke mwenye hela katu hawezi kuumizwa na mapenzi na huyo haipoti muda utamuona yupo na mtu na anaenjoy kama kawaida hawa wakwetu huku akiachwa wanatetereka kwa kuwa wanavitabia vya kumtegemea mwanaume kwa kila kitu!huyu anaungulika tu ila ajajikaza asiwaangushe team yake ambao wamekuwa wakimnasibisha na ustrong woman..... inakuwa Kama mtoto mdogo akianguka na ukamsifia kwamba ameruka basi kitajikaza kisilie kumbe kimeumia
.wewehamisa na mange wote akili zenu sawa....akili na mtazamo wenu ni za msingi papuchi...siku ukipigwa superglue kweye hyo papuchi inayokuweka mjini you will be as good as dead...katija maisha yenu yote ya hapa duniani na hata motoni baada ya kufa hamtafikia even nusu ya ustaarabu and elegance ya zarinah khassan..Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
TrueHata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
Dai bahili, wema alimshindwa domo hapo hamisa hana anachopataUnaweza kuta hapew hata mia 😀😀😀😀
Hilo bentley lenyewe Zari sio lake ni la shoga yake Zodwa...aliwadanganya mashabiki wake akaja umbuliwa hana cha bentley wala bubu....apambane na hali tuuwatu mnagombania mwendokasi ila mnajifanya mnadiss bentley // wabongo bwana kazi kudiss vitu hamuwezi afford / kila mtu anangoneka but kila mtu ana bentley / **** people feelings / mwenzenu anaumia ndan ya bentley nyie mnaumia tu ndani ya nyumba ya kupanga acheni ufala
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana jamani hizi heka heka za domo zimezidi,Na labda raha ya mwenzio ni kuwa na mwanaume mwenye eka eka km izo, leo zari, kesho dillish, Mara baadaye hamisa hahaha
Da Mange alisema.
Cc joverest
Ni ukweli, ukiwa tegemezi kwa mwanaume mkiachana unaweza kufa kwa machungu, ila ukiwa independent mkiachana leo asubuhi unaendelea na mambo yako, ndio maana huwa sitaki hata mia ya mwanaume labda anipe kwa raha zake ili ukinichosha dakika hio nikunaweWewe bado sana wanawake unaowaona wanaumia kwa ajili ya mapenzi wengi hawaumii kwa sababu eti ya dudu ni hela, mwanamke mwenye hela katu hawezi kuumizwa na mapenzi na huyo haipoti muda utamuona yupo na mtu na anaenjoy kama kawaida hawa wakwetu huku akiachwa wanatetereka kwa kuwa wanavitabia vya kumtegemea mwanaume kwa kila kitu!