hiki ndicho wabongo wanachokiweza kuchokonoa na kufuatilia life za watu. Naipenda tanzania kwa hili tumebarikiwa kwa umbea tuu, hatujambo katika hili. Yaani tunafikia hatua ya kumchagulia mtu wakumpenda hatari sana.
Ila tuu mjue Diamond ni muislamu na dini inaruhusu hata Wema na Mobeto wote wakitaka wanaweza kuolewa na Mondi