Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
🙏🏿🙏🏿🙏🏿Hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿Hakika
Asante kwa kunionaPaschal Mayalla, Return of undertaker, mwanahabari huru, Britanical, Zankumi, Jitegemee, etc wako good sana.
Atakuwa part 2Mi Nina mke tayari
hahaAtakuwa part 2
[emoji120][emoji120][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]Wapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara:
Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa
Mshana Jr
britanicca
Zero IQ
Bujibuji
Matola
Salary Slip
GENTAMYCINE
Sky Eclat
Ghazwat
Bila bila
Madimba jr
Kikosi cha akiba kimvuto mkubwa:
warumi
mrangi
Khantwe
King Kong III
Quinine
Erythrocyte
Jambazi
Sababu za kukitaja hiki kikosi ni kwamba kwanza hata kama wewe bado hujawa member hapa lakini ukiwa unasoma tu yale wanayoyaandika utavutiwa nao. Pia ni wachangamfu wakubwa kiasi kwamba unaweza ukawa una msongo wako wa mawazo kutokana na harakati zako lakini ukiwasoma tu hawa amani ya moyo inakuja. Na mwisho kabisa ni watu ambao ndani ya michango yao utagundua ya kwamba wanajua mambo mengi halafu hata uwezo wao wa kuchambua mambo mbalimbali ni mkubwa na ndiyo wao wameweza hata kunishawishi niwe memba rasmi hapa.
Asanteni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] That's JFnamba moja hapana aisee, much knw sana mzee wa matango pori.
namba moja hapana aisee, much knw sana mzee wa matango pori.
namba moja hapana aisee, much knw sana mzee wa matango pori.
Kwa hiyo unatufikiria namna gani vipi sisi watoa like [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] That's JF View attachment 1131962
Gudume the best japo hayupoWapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara:
Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa
Mshana Jr
britanicca
Zero IQ
Bujibuji
Matola
Salary Slip
GENTAMYCINE
Sky Eclat
Ghazwat
Bila bila
Madimba jr
Kikosi cha akiba kimvuto mkubwa:
warumi
mrangi
Khantwe
King Kong III
Quinine
Erythrocyte
Jambazi
Sababu za kukitaja hiki kikosi ni kwamba kwanza hata kama wewe bado hujawa member hapa lakini ukiwa unasoma tu yale wanayoyaandika utavutiwa nao. Pia ni wachangamfu wakubwa kiasi kwamba unaweza ukawa una msongo wako wa mawazo kutokana na harakati zako lakini ukiwasoma tu hawa amani ya moyo inakuja. Na mwisho kabisa ni watu ambao ndani ya michango yao utagundua ya kwamba wanajua mambo mengi halafu hata uwezo wao wa kuchambua mambo mbalimbali ni mkubwa na ndiyo wao wameweza hata kunishawishi niwe memba rasmi hapa.
Asanteni.
Nimefurahi sanaKwa hiyo unatufikiria namna gani vipi sisi watoa like [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
sawaWapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara: