Unaruhusiwa kumtaja unayeona hajatendewa haki Mkuu na kumbuka hiki ni kikosi cha 2000 kuja mpaka sasawahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....
kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
Athmani machupaMohamedi Mwameja,Victor Costa,Ramdhani Leny,Husein Masha,George Masatu,Hamisi Gaga,Malota soma,Abdala Kibadeni,Zamoyoni Mogela...
Hata mmoja kati ya hawa hayupo?.
Unamwachaje patrick mutesa mafisango hapo dimba la chini?au christopher alex massawe rasta? DahSimba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.
1.Juma Kaseja Juma
2.
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Emanuel Okwi
11.Ulimboka Mwakingwe
Namba 2 nimeacha wazi kutokana na kutoona aliyetendea haki Jezi ya SSC zaidi ya wengine waliowahi kutumikia nafasi hiyo.
Coach ni Patrick Phiri
Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
namba mbili mkuu kwa maoni yangu no said swedi/salum kanoni..Unamwachaje patrick mutesa mafisango hapo dimba la chini?au christopher alex massawe rasta? Dah
karne ya 21 mkuu.....(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Kumbuka tunazungumzia 2000 kuja mpaka leo mkuu na si Karne ya 20 huko.Wengi uliowataja hapo ni 2000 kushuka chini(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED