Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

Mohamedi Mwameja,Victor Costa,Ramdhani Leny,Husein Masha,George Masatu,Hamisi Gaga,Malota soma,Abdala Kibadeni,Zamoyoni Mogela...
Hata mmoja kati ya hawa hayupo?.
Zingatia hapo KARNE YA 21... Ina maana ni kuanzia mwaka 2001 na kuendelea...
 
Wewe Jonas Mkude? Acha utani
Alex Christopher Massawe anakaa wapi mzee
Lubigisa madata Lubigisa,
Marx Sirengo,
Steven Mapunda Garrincha,
Yusuph Macho Musso,
Amri Saidi
 
wahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....

kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
Daud Salum, Kajole Machela, Thueni Ali n.k
 
Aise kuna raia anaitwa HUSSEN AMAN MASHA...umemwacha wap?
 
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Hapo mstari wa mwisho ni lugha gani mzee wa Simba?
 
ukwer mkude ajafika uwezo ata wa nico nyagawa n boban akuwa n uwezo wa kuwa first eleven
 
Utamuachaje Shehan Rashid au Mc Manaman wa tanzania?
 
wahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....

kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
Mkude hakunaga kidogo shekhan namba 8 ambao ni mafundi ,hao wengine ni sabb ni wahenga watapendelewa kisa ugonjwa wa kuona kila kikongwe dhahabu
 
Kwangu mm nlipoanza kujitambua kosi langu liko hiviii


1. Mohammed Mwameja
2. Said Swed
3. Ramadhan Wasso
4. Amri Said Juma (Jaap Stam)
5. Boniphace Pawassa
6. Suleiman Matola (engineer)
7. Steven Mapunda(garrincha)
8. Christopher Alex
9. Emmanuel Gabriel
10. Athuman Machupa
11. Emmanuel Okwi
Sub...

1. Juma K. Juma
2. Victor Costa
3. Joseph Kaniki
4. Quresh Ufunguo
5. Ulimboka Mwakingwe
6.Patrick Mafisago
7. Mark Serengo
 
Wewe Jonas Mkude? Acha utani
Alex Christopher Massawe anakaa wapi mzee
Lubigisa madata Lubigisa,
Marx Sirengo,
Steven Mapunda Garrincha,
Yusuph Macho Musso,
Amri Saidi
Mbona Seleman Matola na Shehani Rashid hujawataja, Kocha bora James Siang'aa
 
Kwangu mm nlipoanza kujitambua kosi langu liko hiviii


1. Mohammed Mwameja
2. Said Swed
3. Ramadhan Wasso
4. Amri Said Juma (Jaap Stam)
5. Boniphace Pawassa
6. Suleiman Matola (engineer)
7. Steven Mapunda(garrincha)
8. Christopher Alex
9. Emmanuel Gabriel
10. Athuman Machupa
11. Emmanuel Okwi
Sub...

1. Juma K. Juma
2. Victor Costa
3. Joseph Kaniki
4. Quresh Ufunguo
5. Ulimboka Mwakingwe
6.Patrick Mafisago
7. Mark Serengo
Unatisha kakaaa
 
Back
Top Bottom