Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

Hivi nyie vijana mnafahamu karne zinahesabiwa vipi?
Karne ya ishirini namoja inaanzia kuhesabiwa tangu lini?
The 21st century is the current century of the
Anno Domini era, in accordance with the
Gregorian calendar . It began on January 1, 2001 and will end on December 31, 2100. [1]

source, Wikipedia
 
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.

1.Juma Kaseja Juma
2.Said Swed Kusi
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Athumani Machupa
11.Emanuel Okwi

Coach ni Patrick Phiri

Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
Kikosi bora hakina mtu kama Selemani Matola Veron huo ni ubabaishaji wa aina yake
 
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Corrected
 
Piga kelele, ikiwezekana lia au km vp taga mayai. Kiukwel simba ya miaka ya 1990 mwishon na 2000 mwanzon ilikua na mafundi wengi sana. Kwa upande wing niliwapenda sana. Unaogopaje hata kukutana na Barca pindi ukiwa na At human Machuppa, Steven Mapunda Garincha, Emanuel Gabriel Batistusta, Ramadhan Wasso, Madaraka Seleman"Mzee Wa kiminyio" na wengine. Simba ilikua tamu sana kipind hicho
 
Fernandes Rodri said:
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
To be collected!!! Tuwaachie wenye lugha yao.
 
Hu
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.

1.Juma Kaseja Juma
2.Said Swed Kusi
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Athumani Machupa
11.Emanuel Okwi

Coach ni Patrick Phiri

Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
Huwezi kumuacha Seleman Matola hapo.
 
Back
Top Bottom