Zingatia hapo KARNE YA 21... Ina maana ni kuanzia mwaka 2001 na kuendelea...Mohamedi Mwameja,Victor Costa,Ramdhani Leny,Husein Masha,George Masatu,Hamisi Gaga,Malota soma,Abdala Kibadeni,Zamoyoni Mogela...
Hata mmoja kati ya hawa hayupo?.
Shukrani kiongozi kwa kunikumbusha maana hilo zingatio lilinipita kdg.Zingatia hapo KARNE YA 21... Ina maana ni kuanzia mwaka 2001 na kuendelea...
Daud Salum, Kajole Machela, Thueni Ali n.kwahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....
kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
Wote hao ni wa karne ya 21?Mohamedi Mwameja,Victor Costa,Ramdhani Leny,Husein Masha,George Masatu,Hamisi Gaga,Malota soma,Abdala Kibadeni,Zamoyoni Mogela...
Hata mmoja kati ya hawa hayupo?.
Ili kuwaudhi Yanga?Kwenye jina la okwi ungeweka bold with red colour
Hapo mstari wa mwisho ni lugha gani mzee wa Simba?(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Mkude hakunaga kidogo shekhan namba 8 ambao ni mafundi ,hao wengine ni sabb ni wahenga watapendelewa kisa ugonjwa wa kuona kila kikongwe dhahabuwahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....
kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
na azamIli kuwaudhi Yanga?
Mbona Seleman Matola na Shehani Rashid hujawataja, Kocha bora James Siang'aaWewe Jonas Mkude? Acha utani
Alex Christopher Massawe anakaa wapi mzee
Lubigisa madata Lubigisa,
Marx Sirengo,
Steven Mapunda Garrincha,
Yusuph Macho Musso,
Amri Saidi
Unatisha kakaaaKwangu mm nlipoanza kujitambua kosi langu liko hiviii
1. Mohammed Mwameja
2. Said Swed
3. Ramadhan Wasso
4. Amri Said Juma (Jaap Stam)
5. Boniphace Pawassa
6. Suleiman Matola (engineer)
7. Steven Mapunda(garrincha)
8. Christopher Alex
9. Emmanuel Gabriel
10. Athuman Machupa
11. Emmanuel Okwi
Sub...
1. Juma K. Juma
2. Victor Costa
3. Joseph Kaniki
4. Quresh Ufunguo
5. Ulimboka Mwakingwe
6.Patrick Mafisago
7. Mark Serengo
karne ya 21 mkuu.....
Kumbuka tunazungumzia 2000 kuja mpaka leo mkuu na si Karne ya 20 huko.Wengi uliowataja hapo ni 2000 kushuka chini