Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,542
- 1,583
Noo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati......uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Rejea sababu no 1Noo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati...
Tumia neno lingine bhana!! Otherwise umepigwa mwenyeweKiukweli tumepigwa kidole
Na kitu kizito kichwani kiukweli.Kwa Lukuvi tumepigwa
Sounds like you have a very valid point. This implies that you will be subjected to sameness on & on & on & on.....sisi watanzania ni misukule
Huyu mzee alifanya kazi sanaNa kitu kizito kichwani kiukweli.
Tushindwe wenyewe kumega mapande ya ardhi msoga gang.
Amini nilichokiandikakilicho muondoa.ni ile.ishu.ya.uzanzibar wasipewe nchi ya kipindi cha bunge la.katiba
Niache kupigania maisha ya familia yangu nianze kulilia waliokula keki toka enzi za mwalimu akina Lukuvi,pumbavu
Sio Isimani ni Ziwa Ngozi MkuuTunaenda Isimani kutambika
Kama kipimo cha korona cha wachina!Kiukweli tumepigwa kidole
Huyo mtu alikuwa anang'ata na kupuliza kwani pia kuna wengi wamedhulumiwa viwanja vyao na huyo mtu....uswahiba na hayati