Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Noo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati...
Ukweli utabaki ukweli tu! Utamsfiaje mtu mnafiki? Na msaliti? Umeme unasema mwenyewe elf 27, baadae unasema wamewadanganya ni laki3!
Ovyo kabisa
 
You sound reasonable. Huyu mfanyabiashara ameimeza Ardhi ya Tazara yote kaweka ICD kuanzia mchicha mpaka Tmk maganga mapaka kiwalani.
 
Eti uswahiba wa hayati,, kuna swahiba wa hayati kumzidi Doto james au Musa semike?.
Scratch that.... [emoji1732][emoji1732]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
You sound reasonable. Huyu mfanyabiashara ameimeza Ardhi ya Tazara yote kaweka ICD kuanzia mchicha mpaka Tmk maganga mapaka kiwalani.
Weeh! acha tu, vijana wetu hata sehemu ya kucheza hakuna. Ila tunaendelea kumuomba mungu huyu huyu wanaemuomba wao, ipo siku nchi itakuwa ya watanganyika maana kwa sasa ni ya watanganyika.
 
Mbona mambo madogo hayo; the fact is iwe shamba ama eneo shimo la udongo there would be a day Lukuvi or somebody else would be shown the door, mabadiliko ni jambo la kawaida na Lukuvi amekula sana hata hivyo, miaka karibu 30 mtu yupo juu tu hana njaa mbona ashukuru Mungu kwa baraka zote hizo na akapumzike!
 
Waznz wana hasira na Lukuvi. Kwa kauli yake ya kashfa ya kuunasibisha uislam na ugaidi.

Na kwamba wakatoliki wa ccm hawako tayari kuiona uislam unandelea kuota mizizi znz
 
Hapa tushaachiwa manyoya tayar
 
Huo ndo ukweli,hata asiyejua lolote,ataelewa maana ya kumuondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…