Kwa kauli iliyomo kwenye "video clip" hii angesalimika?...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Kwa kauli iliyomo kwenye "video clip" hii asingesalimikaNoo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati...
Infacts hapo amechemsha by 100%,Lukuvi was the best. Yaani unatoa chapakazi unaweka mtu wa deal. Nimesikitika mno.
Ndo maana kapewa kitengo cha udongo? NYIEEAlikuwa mchapa kazi.
Msoga wako enzini acha mtoto akasuke madeal.
I secondsisi watanzania ni misukule
...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Halafu huyu Lukuvi hebu angalia maendeleo ya Isman yalivyodidimia , hajawahi kushinda uchaguzi kwa haki , ni mtu wa kuhonga vitu duni sana , anafikia kuhonga viberiti vyenye picha yake pamoja na Ulanzi , Mkangafu .Niache kupigania maisha ya familia yangu nianze kulilia waliokula keki toka enzi za mwalimu akina Lukuvi,pumbavu
Wadau,Waznz wana hasira na Lukuvi. Kwa kauli yake ya kashfa ya kuunasibisha uislam na ugaidi.
Na kwamba wakatoliki wa ccm hawako tayari kuiona uislam unandelea kuota mizizi znz
Badiliko ni kama limeibua upya msiba wa Jembe.Nimestuka na Hali ya nchi kwa sasa.
Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,Inatia sana hasira, hawa jamaa wanatuchukuliaje aiseee.
Hakuna cha maana kafanye kule,zero brain kabisaHalafu huyu Lukuvi hebu angalia maendeleo ya Isman yalivyodidimia , hajawahi kushinda uchaguzi kwa haki , ni mtu wa kuhonga vitu duni sana , anafikia kuhonga viberiti vyenye picha yake pamoja na Ulanzi , Mkangafu .
Hana lolote lingine .
Akipangua unanufaikaje?Hata huyo aliyekwa kwa hila na fitna hatakaa! Mungu yupo,itafahamika tu!
Atapangua tena hilo baraza
sisi watanzania ni misukule
Duh! Bora Ndugulile aliishagazoea mbio fupifupi za mita 100, hawa wa kuzunguka uwanja mara 4 mabadiliko haya kwao ni sawa na Mbuzi kupewa mwaliko kwenye harusi ya Fisi....uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Tiwasubirini 2025. Tumpe hata Lipumba.Kiukweli tumepigwa kidole
Mi Basi nikawa najisemea mzee atapumzika vizuri uenda akaramba Ubalozi atakua ajapoteza kumbeeeeeeee!Nikumegee mazungumzo yao;
Mustaafu: "...mheshimiwa habari,kijana analalamika hammtendei haki pale shambani kwake Dakawa kulikoni?!"
Kiongozi: "...mheshimiwa....kwa kweli kuhusu shamba lile yapo mapungufu na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kwa namna umiliki wake ulivyo na ndiyo maana nilimshauri afuate taratibu ili kuondoa changamoto zile."
Mustaafu: simu yake ddddddd,ikakata.
Toka wakati ule wakanuniana.
Sory bwashee cha wapiKiukweli tumepigwa kidole
...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Mkuu,Lukuvi was the best. Yaani unatoa chapakazi unaweka mtu wa deal. Nimesikitika mno.