Aliyekuambia mkombozi anahitajika nani? Hakuna kitu viongozi hawapendi kama mmojawao kuwa karibu na wananchi[emoji134]lakini lukuvi angetukomboa sana watanzania[emoji16]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mungu alishaibariki Tz tangu kuumbwa kwa huu ulimwengu sasa wewe njoo na maombi mengine muhimu kwa Mungu.Mungu ibariki Tanzania
Kama kuna mahali mchezo mchafu umefanyika ni hapa Ardhi.Tushindwe wenyewe kumega mapande ya ardhi msoga gang.
Naelewa [emoji4]Utaelewa tu!..[emoji23]
Kimsingi basi utaona hakuna haki ya kikatiba na ya utendaji kazi kwa ajili ya Wananchi wa Tanzania watu wako kwa majungu na kushitakiana. Kupiga simu kupeleka vikaratasina mtu anakubali ujinga kama huu. Watanzania tuna safari mbovu ndefu hii chama na watawala wake Mungu anawezakujibu.Kumbeee eeh
Yawezekana ingawa si ktk mila na utamaduni wa WaznzWadau,
Ninachotamani kujuwa siku nyingi lakini sijapata kujuwa ni kuwa je, Mkristo na pia Mwanamke wanawezakuwa Marais Zanzibar?
Badiliko ni kama limeibua upya msiba wa Jembe.
Misukule tena ya kiwango cha lamisisi watanzania ni misukule
Ila JPM aliishawahi kuwaambia hadharani Kabudi na Lukuvi kwamba nyie hamuwezi kugombea urais, naona unabii huo wa JPM umetimizwa na mama.Mkuu,
Tuliishaambiwa wataokuwa nje ya list ni wale ambao wanahangaika na 2025 badala ya kujikita kutekeleza ilani, sisi raia hatujui kwa sababu tuna macho mawili tu lakini mama ana macho mia kidogo, na yeye ndiye anaye-appraise performance zao, sasa tunalazimika kuamini mama yuko sahihi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumia neno lingine bhana!! Otherwise umepigwa mwenyewe
Kweli kabisa mkuu, maana hata Jaji, Brg Gen. Rev. Agustino Ramadhani (deceased) enzi ya uhai wake angeifaa sana Znz kama rais lakini mila na utamaduni.....Yawezekana ingawa si ktk mila na utamaduni wa Waznz
Majungu sio muda wake huu...uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
haya sasa wapi sukuma gang, msoga gang yote imerudi madarakani nape, makamba, riziwani wote wameulamba uwaziri. Ndo mjue nchi inawenyewe hii....uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.
Hata vijisenti itabidi awasamehe kule mjengoni wasimpe kwa sababu ya ulimola wake.haya sasa wapi sukuma gang, msoga gang yote imerudi madarakani nape, makamba, riziwani wote wameulamba uwaziri. Ndo mjue nchi inawenyewe hii.
Ukifanya udadisi kidogo wa mgawanyo wa madaraka ktk serikalo ya znz utagundua wanagawa nafasi za wafanya maamuzi ktk makundi yote ktk uwiano sawa na idadi ya population zao ktk jamii ya Waznz. Inakadiriwa wakristo wa znz ni 1%Kweli kabisa mkuu, maana hata Jaji, Brg Gen. Rev. Agustino Ramadhani (deceased) enzi ya uhai wake angeifaa sana Znz kama rais lakini mila na utamaduni.....
Hivi kiongozi gani ni Mkristo Zanzibar?Ukifanya udadisi kidogo wa mgawanyo wa madaraka ktk serikalo ya znz utagundua wanagawa nafasi za wafanya maamuzi ktk makundi yote ktk uwiano sawa na idadi ya population zao ktk jamii ya Waznz. Inakadiriwa wakristo wa znz ni 1%
Wahindi ni 1%
Waliobaki wanahesabiwa kuwa ni waislam 98% bila kujali rangi au nywele zao.
Ndio maana lazima ukute walau kila kundi anapatikana ktk serikali itakayoundwa. Walau utakuta 1% wahindi na 1% wakristo.
Husishikiwe akili wewe. Nani amekwambia kuwaza 2025 ni kosa? Kila mtu ana ambition zake katika maisha. Nani alianza kuwaza na kuwa na homa ya 2025 kama siiyo huyo mama?Mkuu,
Tuliishaambiwa wataokuwa nje ya list ni wale ambao wanahangaika na 2025 badala ya kujikita kutekeleza ilani, sisi raia hatujui kwa sababu tuna macho mawili tu lakini mama ana macho mia kidogo, na yeye ndiye anaye-appraise performance zao, sasa tunalazimika kuamini mama yuko sahihi...
Niliowahi kuwasikia ni Wakuu wa wilaya na mkurugenzi
Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,
Au nchi yeyote dunia ulishaona?,
Jibu ni hakuna, tatizo wabongo ni wajuaji sana,,
Rais anachagua watu ambao ni wasaidizi wake. ,Huwezi mlazimisha rais achague msaidizi wake ambae wewe ndo unamtaka,
Hiyo haipo,,
Kuna nchi chache mfano lebanon, ambayo katiba imeanisha kabisa kwamba, Rais lazima awe mkristo,, waziri mkuu lazima awe sunni na spika wabunge lazima awe shia,,
Halafu mawaziri huteuliwa kutokana navitivyama vimepataje
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app