Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
πŸ˜€πŸ˜€ Info kibindoni
 
Asee.,. Kwahiyo leo beseni la maji ya kunawa limepita,
 
Mama kwa nini umemtoa Lukuvi!!??
hiyo nafasi ya uwaziri wa ardhi aliiweza sana mno.......
 
Lukuvi mshenzii tu, kibri, mjivuni amejaa dharau!!!
 

CHADEMA, kimakosa, watakuambia wao ndiyo hicho chama!
 
Kama wamejipanga kupiga deal wajue itawagharimu sana. Maana hata kama watatoka madarakani hiyo kinga itaondolewa kwa katiba mpya siku moja . Watashtakiwa nakunyang'anywa walizopolra wao au vizazi vyao.
Waombee wafe kabla, lkn waliobakiwa uzao wao lazima ujutie kipigo.

Acha wafanye sasa. Watalia kesho
 
mimi nikahisi ile michambo ya enzi zile Kanisani dhidi ya Zanzibar-Uislam-Ugaidi..

ndo imemtoa knock out
 
Nipo kwenye mambo ya ardhi muda mrefu, Luvuvi alikuwa ni worst of the worst, kilichomsaidia ni kipindi kirefu alichohudumu hiyo wizara watu walifungwa midomo, na alikuwa anajua kucheza na media plus wananchi wanyonge!

Utatuaji wake wa migogoro ya ardhi ulikuwa wa hovyo, usiofuata sheria, wala utaalamu! And alikuwa mla rushwa mkubwa, uliza mfanyakazi yoyote pale Ardhi! Hili la rushwa nina ushahidi nalo pia personally!

Kaharibu career za wataalamu wengi sana kwenye ardhi kupitia majungu or pale matakwa yake hayakutimilizwa! To hell with him! Hofu yangu ni kama huyo Mama ataiweza hiyo wizara, Maana JK amewahi kukiri katika wizara zote zilizopo, Ardhi ni pasua kichwa! Hiyo wizara wangempa Aweso akapambane nao
 
Wahindi ni kabila au dini?
 
mh suzy wewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…