Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

Sisi Watanzania ni maiti! Hivyo viongozi wetu wanaongoza maiti. Vinginevyo tungekuwa tumeshakemea ujinga unaoendelea nchini kwetu!
 
Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?
Siku hizi ni muanzisha pambio pale praise team Lumumba.
 
Reactions: Pep
Na mustaafu alivyokuwa mtu wa FUATA UTARATIBU ndiyo shiida kweli kweli!.
 
Mungu ibariki Tanzania
Kutoka kwenye slogan ya "wanawake tunaweza.." hadi Mungu ibariki Tanzania! Huu mwaka mbona uneanda pole pole Sana, bado tarehe 10 Januari hadi sasa!!
 
Alaa kumbe,
Mamlaka ya uteuzi,huwa inajua tusiyo yajua(ya kale na ya leoleo).
kulinda heshima yake Lukuvi,ni sahihi kupumzisha na kupisha wengine.
Lukuvi, katika mambo ambayo hakuyatendea haki,ni ujenzi wa nyumba za NHC kwa mkopo toka Exim Bank ya China, kwa kushirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Mchechu.
Mimi nikipita kawe beach na kuona majengo yametelekezwa na mkopo serikali inalipa,inatia uchungu Sana.
 
Husishikiwe akili wewe. Nani amekwambia kuwaza 2025 ni kosa? Kila mtu ana ambition zake katika maisha. Nani alianza kuwaza na kuwa na homa ya 2025 kama siiyo huyo mama?
Nikweli mkuu! Lazima uwe na ndoto ya mambo makubwa! Sio kama yeye kaupata urais kwa mbeleko! Leo hii anawaona wabaya!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba mtumishi Pep hivi huwa unapitia jf??
Yaani pamoja na kumiliki haya mashamba ya mboga mboga yametapakaa nchi nzima wabongo wanaitwa mandondocha na misukule?

Hili sio kweli, naomba tupuuze hizi kauli wazalendo wenzangu 🤣🤣
______________

Nimekua mvivu siku hizi kuzurura majukwaani.
 
Lukuvu, jamaa huwa hana mihemko yule, anamonitor kila neno kutoka mdomoni mwake, ama kweli dunia haipendi "super man"!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
"2025 mtaamua,kama mtoe hawa muweke wengine"kwa sauti ya Supika.
Tupo mnadani 😂😂😂😂😂
 
Reactions: Pep
Duh..!
Mawazo kama haya ni hatari sana kwa taifa na kizazi kijacho.

Btw, ni mawazo ya waafrika walio wengi...dumisha!
 
Hivi kigogo alifia wapi? Mbona huu mkeka hakutupa kabla? Au mama majina siku hizi haweki ofini na pochi lake haligusi mtu ikishindikana anaweka kwenye bra?

Kigogo siku hizi ni ndugu moja, naona na Shangazi naye kashapiga U-turn...
 
Kutoka kwenye slogan ya "wanawake tunaweza.." hadi Mungu ibariki Tanzania! Huu mwaka mbona uneanda pole pole Sana, bado tarehe 10 Januari hadi sasa!!

Mungu ndio anawezesha wote wanawake na wanaume, wakuu na watu wao
Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…