Ole jaminati
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 284
- 251
Mchapakaz mh lukuvi na alifanya vizur kwenye hiyo wizarUswahiba na hayati
Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.Watanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23]me hapanaa.k.a Mindondocha
Hiii ndo ishu kubwa make aliwasagia kunguni sana wazanzibar.kilicho muondoa.ni ile.ishu.ya.uzanzibar wasipewe nchi ya kipindi cha bunge la.katiba
PITa pale kwa mangi update kilo moja na Don, nakuja kulipaKiukweli tumepigwa kidole
Mambo ni mengi kuliko mdaHiii ndo ishu kubwa make aliwasagia kunguni sana wazanzibar.
Kwanini Mkuu [emoji1]sisi watanzania ni misukule
Kwenye Hilo kundi Mimi, Simo nakuachamo wewe🏃.Tusi zito hili aisee!..🤣
Mi ni mmalekaniKwenye Hilo kundi Mimi, Simo nakuachamo wewe🏃.
Usikane utaifa tu🤔.Mi ni mmalekani
Kwanini mkuu ni misukule?sisi watanzania ni misukule
Kwenye upande wa land development na real estate hakua mzuri kabisa.Laiti angeendeleza pale Tibaijuka aliishia kungekua na real estate za kutosha.NHC inapaswa kubaki kua real estate development corporation kwa kizazi hiki na kijacho.Tuendako haitakuja rahisi mtu kipato cha chini kupata kiwanja na kujenga Kama ilivyo kwenye developed countries hivyo NHC na watumishi housing wanatakiwa kua na project za miaka 100 ijayo
Kama wewe upo ardhi nina shaka na wewe, ni wa ovyo kuliko hata Lukuvi tena kabla yake kama ulivyokiri kuwa Jk alisema ni pasua kichwa, hapo angeniweka mimi tu.Nipo kwenye mambo ya ardhi muda mrefu, Luvuvi alikuwa ni worst of the worst, kilichomsaidia ni kipindi kirefu alichohudumu hiyo wizara watu walifungwa midomo, na alikuwa anajua kucheza na media plus wananchi wanyonge!
Utatuaji wake wa migogoro ya ardhi ulikuwa wa hovyo, usiofuata sheria, wala utaalamu! And alikuwa mla rushwa mkubwa, uliza mfanyakazi yoyote pale Ardhi! Hili la rushwa nina ushahidi nalo pia personally!
Kaharibu career za wataalamu wengi sana kwenye ardhi kupitia majungu or pale matakwa yake hayakutimilizwa! To hell with him! Hofu yangu ni kama huyo Mama ataiweza hiyo wizara, Maana JK amewahi kukiri katika wizara zote zilizopo, Ardhi ni pasua kichwa! Hiyo wizara wangempa Aweso akapambane nao
Acha tuIngekuwa awam ya 5 ndo iko madarakani, jana majina ya mawaziri tungeyapata siku moja kabla kweli kikulacho ki nguoni mwako
Enzi hizi za "gugu" sio busara kuweka vitu usivyovijua.Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,
Au nchi yeyote dunia ulishaona?,
Jibu ni hakuna, tatizo wabongo ni wajuaji sana,,
Rais anachagua watu ambao ni wasaidizi wake. ,Huwezi mlazimisha rais achague msaidizi wake ambae wewe ndo unamtaka,
Hiyo haipo,,
Kuna nchi chache mfano lebanon, ambayo katiba imeanisha kabisa kwamba, Rais lazima awe mkristo,, waziri mkuu lazima awe sunni na spika wabunge lazima awe shia,,
Halafu mawaziri huteuliwa kutokana navitivyama vimepataje
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Race /rangiWahindi ni kabila au dini?
Hahahahah nwenyewe hata uteuzi wake haukutawajiwa. Lkn kubwa yy ni MznzChaz huyu wa juzi hapa aliyesajiliwa kutoka Azam?
Sasa Rizi anaenda kupokonya Viwanja vya Lukuvi Makonda na MwendazakeUswahiba na hayati
Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira.
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya Watanzania.Watanzania.
Chenye ncha kaliNa kitu kizito kichwani kiukweli.
Rais Siyo mkristo tu bali awe Coptic Orthodox Christian.Umeshaona mfano raia wa mfano marekani wakimlalamikia Rais kateua waziri siyo?,