Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Makofi tafadhali
saaf minafki hiyoo
tena nakumbuka radio flani flani walikua wanamponda kwa mineno ya kashfa na dharau
"mbunge utakua weweee"
washasemaga hvyoo
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.
Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.
Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.
Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?
To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.
Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.