Hiki ndicho kilichosababisha Sugu kung'aka, "Mimi sio mbunge wa wasanii''

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, amesema hajaweza kufanya kitu chochote kuwasaidia wasanii kwa kuwa wakati anagombea Ubunge hakuna aliyekuwa nyuma yake. Sugu amelazimika kusema hayo baada ya shabiki kutaka kujua ni kitu gani alichowafanyia wasanii tangu awe Mbunge.

''Hao wanaozingua wakamuulize Kikwete studio aliyoitangazia dunia kawapa wasanii iko wapi na kamkabidhi nani, amehoji Sugu kwenye Instagram. Rais kashindwa kuwasaidia wanataka kumlaumu mbunge wa Mbeya mjini, wakati hata hao wasanii wenyewe kimsingi hawakutusapoti kwa namna yoyote wakati tunagombea huo ubunge, wote walikuwa wanajipendekeza kwenye kampeni za CCM''.

1.png

Upande mwingine mi sina tatizo na Jibu lake ila tatizo ni ilo neno "acha ufala" Mh inatakiwa ajaribu kuwa na Lugha kidogo nzuri yeye ni kiongozi wa watu sasa kidogo Lugha kama hizo sio nzuri.
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.
 
kama Waziri kashindwa kufanya Waziri KIVULI atawezea wapi?? unajua kazi za waziri kivuli wewe
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

Hata wewe acha ufala
 
Nawe ndo ---- kabisa
 
Acha ufala wasanii hawampi ushirikiano atawasaidia vipi? wakamlilie shida zao Kikwete rais wanaekula nae pilau ikulu kila leo si kila siku anawapa ahadi mpya.
 
Back
Top Bottom