Hiki ndicho kilichosababisha Sugu kung'aka, "Mimi sio mbunge wa wasanii''


Sugu ndiye kiungo muhimu wa watu wa mbeya, hujui kuwa hata kundi dogo tu la wamachinga wakirise, wazee kaya wanashindwa kutuliza vurugu mbeya mjini!!? Mpaka aje Mh. Sugu mteule wa watu wa mbeya mjini!!
 
Sugu amenifurahisha saaana...
Mfano sasahivi kuna mtu anaitwa NIKKI WA PILI,anajidai ni MSOMI.

Huyu jamaa,eti anahimiza vijana wapitishe KATIBA YA CHENGE,kwa kuwa inawajali vijana hasa wasanii.....

Sasa najiuliza,hivi..ni HAKI GANI usiyoweza kuidai? Haki usiyoweza kuidai mahakamani si haki hiyo...


Baada ya miaka mitatu,utamuona msomi Nikki,akilia ooooh wasanii hatujaliwi,ooooh vijana tusaidiwe,ilimradi tu lawama...

Wakati wakina Sugu wakihoji usanii wa katiba kwa vijana especially wasanii!NIKKI WA PILI yeye anaungana na CCM kutaka ipite,then badaea mambo yakibuma anaanza kulia lia kuomba asaidiwe!! Pumbavu kabisa..

Sugu upo sawa.....piga kazi kwa WANA- MBEYA waliokuchagua,achana na MAPOYOYO a.k.a Misukule ya CCM.
 
Sugu moto chini... Juzi nimeenda Mbeya jamaa kaichange kinouuuuma...Heshima kwa huyu MP Wangu.
 
Kama ulipiga kelele kuhus kikweta na chama chake,leo uliza kuhus ahad ulipewa. Kuanza kumuuliz sugu kafanya nini,ni upuuz tu. Muulize aliyekupa donge nono before. Thatz y we say politics iz a dirty game,yu do external and internal activitiezzzz just to win a position. Poleni mliopewa hela za kahawa na vocha. Jioneni wajinga tuuuuuuui!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…