naxon
JF-Expert Member
- Dec 6, 2014
- 367
- 199
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.
Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.
Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.
Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?
To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.
Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.
Sugu ndiye kiungo muhimu wa watu wa mbeya, hujui kuwa hata kundi dogo tu la wamachinga wakirise, wazee kaya wanashindwa kutuliza vurugu mbeya mjini!!? Mpaka aje Mh. Sugu mteule wa watu wa mbeya mjini!!