Hiki ndicho kilichosababisha Sugu kung'aka, "Mimi sio mbunge wa wasanii''

The top rated comments on here have made my evenin'.Thanks Guys fo makin' me smile.
 
Acha ufala wasanii hawampi ushirikiano atawasaidia vipi? wakamlilie shida zao Kikwete rais wanaekula nae pilau ikulu kila leo si kila siku anawapa ahadi mpya.

Hilo jibu l sugu ni mujarabu wasanii kazi kwenye ikulu kufuturu n kupiga picha n jk,bongo movie nao kwenda dodoma kuuza sura
 
Bana FYATU kanifurahisha kweli yaani kaongeaa weee, kumbe katemaa mashuduu Hamna kituu kabisaa, aisee inahitaji akili nyingi Sana kua na watu wenye akili za mgando Kama FYATU
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wa bongo wenyewe wamegawanyika! Kina Ruge wameushika muziki wanawanyonya.
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

Ni kweli kama waziri kivuli hajui anatakiwa afanye nini pale serikali inapokosea? Kama kiongozi sasa anamkomoa nani? Huo uwaziri kivuli ni kwa ajili ya watu wa mbeya tu??analeta usela kwenye uongozi?
 
Waache ufala au umetumwa!!!!!
 
Hizi kelele kila siku wasanii hawasaidiwi mi zinanishangaza sana. Sasa wanataka wasaisidiwe nini, walipiwe nyumba?
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

Kweli fyatu kweli hamnazo kweli punguani kweli we ni chizi Rais wa awam ya nne Mh J K yeye aliwaahidi studio tulisikia na kumuona kwenye luninga akisema maneno hayo hajawafanyia hivyo wasanii na anaondoka hivyo na ndio mwenye Nchi sembuse Mr 2 Sugu jibu ni sahihi alilojibu kua yy ni Mb wa Mbeya town sio Mb wa Wasanii kazi yao wao wakaimbe tu kwenye kampen za Ccm
 
Ni kweli kama waziri kivuli hajui anatakiwa afanye nini pale serikali inapokosea? Kama kiongozi sasa anamkomoa nani? Huo uwaziri kivuli ni kwa ajili ya watu wa mbeya tu??analeta usela kwenye uongozi?

Kipindi wana mbeya tunamchagua Sugu mlitutukana sana na kusema tumechagua mvuta bange..
Sahvi mnataka huyo mvuta bange aache kuwahudumia tulomchagua eti aanze kuwahudumia walokesha kwenye majukwaa ya ccm na kusema ndio chama kitakachowapa maendleo..
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

Kweli we ni FYATU,Sugu unamhusisha vp na huo upuz,yy ni sehem ya serikali?yan watu waache kusambaz elim ya uraia kwa wananch wanaonyonywa na ccm???wasanii hawajitambui wanaimba kwenye makampen ya ccm kwa kupewa pesa c wajenge hizo studio???
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

What is the function of shadoq minister?
 
Huwa namdharau Sana Sugu but kwa alichoingea Leo nampongeza Sana!!

Amefanikiwa kujivua na kuchora straight line kujitenganisha na hao wabeba vinyesi kichwani....
 
Yeye ndiye aache ufala...miaka yote mitano amewekeza kwenye kufitini na kufarakanisha kuliko kuunganisha na kujenga, hata ushauri tu umemshinda.

Yeye ni waziri kivuli wizara ya habari ya vijana na utamaduni (sanaa), hajafanya chochote na wala hajui afanye nini.

Kwa hiyo anataka wasanii wasupport chama chake ndio awafanyie chochote ? basi achague wale wanaosupport chadema awasaidie.

Hiyo studio ndio imekuwa kichaka cha kujificha kila akihojiwa, ameshindwa vipi kukishawishi chama chake waache kuchezea hizo chopper kwa muda ili ajenge hiyo studio mbadala ?

To cut long story short jamaa sio kiongozi ni mpiga kelele tu...kuna mengi ungejifunza kwa Msigwa ndugu.

Ni maneno ya kiwango cha chini zaidi cha kufikiri kutoka kwa anayejiita kiongozi.

We kweli fyatu na akili yako imekaa kifyatu fyatu
 
Back
Top Bottom