Hiki ndicho kinachowaangusha Simba

Hiki ndicho kinachowaangusha Simba

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Huyu mdau anasemaje?

Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI

Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa kila namna wanaoweza kutengeneza matokeo hata wale ambao hawapati nafasi mara kwa mara bado ni bora na tunaona viwango vyao!

Simba haijafanya vibaya kihivyo lakini viongozi simba lazima muliangalie hili mapema

MNAWAFANYA WACHEZAJI WACHEZE KWA PRESHA KUBWA

Tatizo hili linaondoa kabisa kujiamini miongoni mwa wachezaji na kujikuta wakifanya makosa sana hasa pale wanapotanguliwa goli au kuchelewa kupata goli la kuwa mbele.

Tatizo hili nimeliona kwa michezo zaidi ya minne ambayo simba hakupata ushindi.

Simba vs Ud Songo
Simba vs Mwadui
Simba vs Yanga
Simba vs Mtibwa

Kwa presha waliyonayo wachezaji wa Simba hata wakifungwa goli dakika za mwanzo kabisa hawawezi tena kurudi mchezoni, utawaona wachezaji wakicheza kwa presha, wanapoteza pasi hovyo! faulo za kutosha na kukosa kujiamini ikiwa ni pamoja na kukosa kutengeneza nafasi za magoli au kukosa magoli ya wazi.

Viongozi wa Simba kumbukeni kuwatia presha wachezaji hasa katika mitandao ya kijamii haiwasaidii; watieni moyo, hakuna mchezaji anayependa matokeo mabovu.

Aidha, kwa sasa ili kuinusuru Simba itawabidi kutafuta matibabu ya kisaikolojia kwaajili ya wachezaji ili warudishe kule kujiamini hata pale wanapokuwa nyuma waweze kupindua matokeo.

Leo sitaandika sana.

Masshele Emanuel
 
Manara kafanya kazi yake ya kuwaponda wachezaji kuwa hawajitumi na hawastahili kuchezea Simba safi sana endelea na kazi ya kuwaponda hao wachezaji
 
Ukweli ni kwamba Simba ni overrated. Ingawaje mtu kama Manara anataka kuaminisha watu kwamba Simba ina best players, ukweli ni kwamba level ya wachezaji wa Simba ni level ya wachezaji wengine within East Africa! Na kwavile Mtibwa nayo ni miongoni mwa timu mzuri within East Africa, haishangazi kuona wanawapiga Simba yenye wachezaji wenye level ya ki-East Africa!

Majority ya Wachezaji wa Simba wameokotezwa kutoka nchi mbalimbali za East Africa! The same East Africa ambayo hata kiwango chao kimpira kipo chini kuliko ukanda mwingine wowote ule barani Afrika! Lakini ukimsikiliza mropokaji kama Manara, utakuta anaiweka Simba eti level moja na akina TP Mazembe!
 
Ila nimeamini Tanzania kuna vipaji bila kupitisha muamala wa Tigopesa hushindi.
 
Simba ni overrated timu ya kawaida sana, ukali wa simba ni kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari, sio uwanjani, ndio maana MO anaanza kujitoa taratibu, kashaona hii timu itampa hasara tu,
 
Huyu mdau anasemaje?

Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI

Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa kila namna wanaoweza kutengeneza matokeo hata wale ambao hawapati nafasi mara kwa mara bado ni bora na tunaona viwango vyao!

Simba haijafanya vibaya kihivyo lakini viongozi simba lazima muliangalie hili mapema

MNAWAFANYA WACHEZAJI WACHEZE KWA PRESHA KUBWA

Tatizo hili linaondoa kabisa kujiamini miongoni mwa wachezaji na kujikuta wakifanya makosa sana hasa pale wanapotanguliwa goli au kuchelewa kupata goli la kuwa mbele.

Tatizo hili nimeliona kwa michezo zaidi ya minne ambayo simba hakupata ushindi.

Simba vs Ud Songo
Simba vs Mwadui
Simba vs Yanga
Simba vs Mtibwa

Kwa presha waliyonayo wachezaji wa Simba hata wakifungwa goli dakika za mwanzo kabisa hawawezi tena kurudi mchezoni, utawaona wachezaji wakicheza kwa presha, wanapoteza pasi hovyo! faulo za kutosha na kukosa kujiamini ikiwa ni pamoja na kukosa kutengeneza nafasi za magoli au kukosa magoli ya wazi.

Viongozi wa Simba kumbukeni kuwatia presha wachezaji hasa katika mitandao ya kijamii haiwasaidii; watieni moyo, hakuna mchezaji anayependa matokeo mabovu.

Aidha, kwa sasa ili kuinusuru Simba itawabidi kutafuta matibabu ya kisaikolojia kwaajili ya wachezaji ili warudishe kule kujiamini hata pale wanapokuwa nyuma waweze kupindua matokeo.

Leo sitaandika sana.

Masshele Emanuel

Umemaliza kila kituuuuu basii . Thread reply closed [emoji120]
 
Wachezaji umri mkubwa na na mahirizi taabu tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani timu gani isiyofungwa....

Tatizo jingine ni ninyi mashabiki mnaotaka kila mechi mshinde tu
 
Tatizo la Simba linaanzia kwenye uongozi ,wapambe(makomandoo),na benchi la ufundi,kwa kuwachezesha baadhi ya wachezaji a mbao hawanzi kwenye VPL,(kikosi dhaifu).
FB_IMG_15789456021135532.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Simba ni overrated. Ingawaje mtu kama Manara anataka kuaminisha watu kwamba Simba ina best players, ukweli ni kwamba level ya wachezaji wa Simba ni level ya wachezaji wengine within East Africa! Na kwavile Mtibwa nayo ni miongoni mwa timu mzuri within East Africa, haishangazi kuona wanawapiga Simba yenye wachezaji wenye level ya ki-East Africa!

Majority ya Wachezaji wa Simba wameokotezwa kutoka nchi mbalimbali za East Africa! The same East Africa ambayo hata kiwango chao kimpira kipo chini kuliko ukanda mwingine wowote ule barani Afrika! Lakini ukimsikiliza mropokaji kama Manara, utakuta anaiweka Simba eti level moja na akina TP Mazembe!
Nilitaka kukoment ila umenisemea yote. Simba ina wachezaj wakawaida sana tena sana ila manara ndo anawaaminisha watu kuwa simba ni level zingne. Michexo yote ukisnza na wa yanga na wa mtibw utaona wachezaj wanajituma to the maximum ila hawapat matokeo hii ni kw sababu uwezo umeishia pale.

Na ukiangalia wachezaj wengi wa ssc mchezo wao unafanana mf, ajib, chama, shiboob. Hakuna anaefos matokeo hapo.

Wafungwe tu nimechka kuandka mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani timu gani isiyofungwa....

Tatizo jingine ni ninyi mashabiki mnaotaka kila mechi mshinde tu
Sio,
Kwanini wachezaji wa kikosi cha Kwanza hawafahamiki na makocha.
Timu gani isiyo na Kikosi cha Kwanza.
Ulishawahi kuona Rinaldo anapumzishwa bila sababu.
Kama haumwi ni lazima apangwe.
Kikosi cha ushindi ni lazima Kocha akifahamu.
Yaani Mtibwa unawawekea
Santos
Shamte
Gadiel
Kama mabeki halafu wakukose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Simba si inasifika kuwa na kikosi kipana, iweje leo waonekane wengine ni hovyo na wengine ndio wazuri?
Sio,
Kwanini wachezaji wa kikosi cha Kwanza hawafahamiki na makocha.
Timu gani isiyo na Kikosi cha Kwanza.
Ulishawahi kuona Rinaldo anapumzishwa bila sababu.
Kama haumwi ni lazima apangwe.
Kikosi cha ushindi ni lazima Kocha akifahamu.
Yaani Mtibwa unawawekea
Santos
Shamte
Gadiel
Kama mabeki halafu wakukose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo Mo aondoke tu kwanza anatuchawia tu, kamfukuza uchebe ambae kaifikisha simba robo fainal
 
Back
Top Bottom