Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 116
- 85
Tukimudu kuwa tunawapa dozi baadhi ya viongozi wanafikitutaisaidia nchi na kuwafanya wanafiki kuelewa ya kuwa
Mafukaranawatumishi wa ummanao ni watanzaniahawapendi kuchukuliwa hatuapekee yao huku mijizi mingineikilindwa.
Kuisaidia nchi ni kukaa chini na kuifikiria Mifumo ya nchi.KuisomaKuielewaNa kuchukuwa hatua kwa mujibu wa Maandiko ya kimfumo bila kuangalia ni Nani anayekuunga mkono.
Kuna Story nilisoma siku za nyuma,Kuna Mwanasheria Mkuu wa England, Sir Edward Coke,mwaka 1607 alimuambia Mfalme yakuwa hayuko juu ya sheria.Mfalme alichukia na kumfukuza kazi.Ilipofika 1628 Bunge la England likapitisha Muswada ya kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
Hapa tunapata funzo:Unaweza kusema neno leo mbele ya Machawa wakakuzomea, wakakudhihaki,Wewe usijali,Na usitake kila mtu akuunge mkono,Wewe ukiungwa mkono na Mitume na Mwenyezi MunguInatosha kwani neno ukisha litoa halifagi,Ipo siku lidhihiri na watu watajuwa ulikuwa sahihi.
Askofu Thadeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu Jimbo la Dar es SalaamTarehe 19/02/2025 alisema:"Zameni katika neno, Zameni katika Tafakari, Zameni katika Yale mema aliyotufundisha Mtakatifu Thoma wa Akwino, Kusudi Ninyi muwe Taa na kielelezo kwa Waamini wenzenu."
Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu CCM TaifaTarehe 08/02/2025 alisema:"Watanzania wanapenda kuona mtu anayetenda (kwa Vitendo)."
Mheshimiwa Rais Paul Christian Makonda, Rais wa Mkoa wa ArushaTarehe 14/02/2025 alisema:"Wakati Mwingine (ukisimamia haki) haijalishi Nani anakuunga mkono, Wewe angalia Mapenzi ya Mungu katika kile unachokifanya."
Padre Dkt Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TECTarehe 12/02/2025 alisema:"Mtume Paul katika Waraka wake kwa Warumi anawaambia: Ninyi mlio mpokea Yesu kuendelea kujiegemeza kwa Yesu (mjuwe) hamjadanganyika, Hamjapotoka, Na Wala hamjapoteza muda. Shikeni Hilo, Mbaki katika Hilo."
Tubaki katika hili,Tupambane na Michawa inayotumiwa kusherehesha Uvunjifu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu kwa malipo ya Ubwabwa na ulambaji wa visigino.
Leo hii tunashuhudia baadhi ya Viongozi walioitangazia dunia kutenda usawa na haki,Wakaapa wakiwa wameshika vitabu vitakatifu,Wakiona raha na Amani kumchukulia hatua Fukara na Mtumishi wa Umma,Huku wenyewe kwa wenyewe wakiogopana kuchukuliana hatua,Na kuamua kuishi maisha ya kinafiki,Wakiunganisha nguvu kulinda maovu,Na Kisha kupaza sauti wakijifanya wanatenda haki,Huku kaneno ka Unafiki wakikachukia wakati ni Wanafiki Kweli.
Ukiwa MkweliUsitegemee kupendwa na Michawa.Wewe simama kwenye Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za kimfumo,Na kauli chanya za Viongozi wetu wakuu wa Kitaifa.
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu HassanAkiwa katika Maadhimisho ya Tatu ya nchi zinazo zalisha kahawa Barani AfrikaTarehe 22/02/2025 alisema:"Kama Waafrika lazima tubadilike."
Tubadilike tuiendee haki bila uoga ili tuwanusuru:Wenzetu wenye kujielewa wasiochukuwa hatua,Na wasiojielewa ma hoya hoya,Kwa maana ukiwa Kiongozi unapata Wajibu wa kusaidia makundi yote kwa usawa na haki,Kama tulivyoapa kulinda Katiba na Sheria za nchi.
Tusome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005Ibara 12(1)(2), Ibara 13(1)(4)(5), Ibara 29(1)(2)
Mheshimiwa Steaven Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti CCM Taifa BaraTarehe 15/02/2025 alisema:"Na Kama Yesu Kristo alipigwa mijeredi na Wayahudi Wenzake... Na Mtume Mohammad Alifukuzwa Macca kwenda Madina... Sembuse Mimi!?!?"
Professor Abubakar Bin Zeber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa TanzaniaTarehe 11/02/2025 alisema:"Si lazima upendwe na watu wote."
Rev Dkt Eliona Kimaro wa Usharika wa KKKT KijitonyamaTarehe 09/02/2025 alisema:"Tunahitaji Ujasiri fulani kwenye Management, kwenye Siasa. Unahitaji Ujasiri fulani. Na watu wengi hawana Ujasiri. Wanatetemeka hovyo, Wana hofu ya maisha yao. (Nikuambie) Never doubt yourself. Usijionee Shaka (Wewe mwenyewe)."
Tuyapelekee Moto Majitu yote yanayotumia hila na janja janja kujionyesha kama yana wema,Huku yakiwa hayana wema wowote.
Hayo ndiyo Majizi yenye Ulinzi yakaayo kwenye vyeo kwa nguvu ya Rushwa,Na Kisha kwa Unafiki wao hujifanya kuwahimiza mafukara wafuate sheria,Huku wao wakiwa salama bila kuguswa na kile wakihimizacho.
UNAFIKI.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo Kitabu haswaa kinacholinda Uhuru wetu kama Watanzania.Tukisome, tukikariri, ili Chawa yeyoteNa Boss wa Chawa akijiinua tumchape,Ili tulete mabadiliko ya kweli na kukomesha tabia za watu kuongoza kwa kutumia hisia binafsi.
Mheshimiwa Steaven Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti CCM TaifaTarehe 15/02/2025 alisema:"Tulidai nchi yetu (kutoka kwa Wakoloni) ili tulete Mabadiliko, Tulidai nchi yetu ili kudai Uhuru wa nchi yetu."
Tuihifadhi, Tuilinde, Na kuitetea Katiba na sheria za nchi.
Tunao wajibu huo utokanao na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005Ibara 26(1)(2) na Ibara 09(a,b,f,h).
Tuache kuionea aibu haki kwa kuwaogopa Machawa.Sisi hofu yetu iwe kwa Mwenyezi Mungu tu na Mitume wake.Tubakie kwenye:Maandiko Matakatifu,Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za kimfumo,Na huu ndiyo ucha Mungu usiokuwa na Ushetani wa kujivalisha ngozi ya Mwanakondoo na Kisha kuuficha Umbwa Mwitu utumikao kuwaonea Mafukara na Watumishi wa Umma.
Shekhe Yusuph Subky, akiwa kijijini kwao Suwa huko Handeni TangaTarehe 21/02/2025 alisema:"Haya Mafunzo ya Dini yanatoka kwa Nani hasa!?!? (Je) kwa Mashekhe!?!? Na Kama tukisema (Mafunzo haya yanatoka) kwa Manabii (manabii hao) wametumwa. (Je) wametumwa na Nani!?!? Na Mola Subhahanahu Wataalla Mwenyezi Mungu ndiye aliyewatuma kwamba kafikisheni ujumbe."
Sasa ujumbe wameufikisha Mitume kwa wakati wao.Kila mmoja kwa wakati wake amefikisha, pamoja na kupingwa,Lakini Mitume wameufikisha ujumbe,Na kwa Bahati nzuri Mtume wetu wa Mwisho ni Mtume Mohammad SAW,Ndiye wa Mwisho naye ameufikisha ujumbe.
Lakini wakati wa Yeye kuondoka akasema:"Mimi nimewaacha Wanazuoni. Wanazuoni ndiyo Mawaridhi wa Mtume."
Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa TanzaniaTarehe 08/03/2025 akitoa Darsa alisema:"Mtume hayupo Sasa hivi (katika Dunia hii) Lakini waliopo ni Al Ulamaa. Ndiyo Warathatul Ambiyaa. Yaani Mitume yote toka Adamu mpaka Mtume Mohammad SAW, Al Ulamaa ndiyo wamewarith hao (Mitume). Lakini (Ajabu) Mashekhe ndiyo wenye kuvunjiwa sana heshima. Yaani katika watu waliopata balaa katika huu Ulimwengu ni Mashekhe. Mashekhe hawana Thamani."
Baadhi ya Viongozi wanashuhudiwa, Na Viongozi wa Dini, Wakiapa:Kuhiifadhi, Kulinda, Na kuitetea Katiba na Sheria za nchi.Ila wakikalia vyeo, wanaanza kuonyesha dharau kwa Viongozi wa Dini.
Wanazikiuka Ilani, Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu za kimfumo,Kwa ule utamu wa dhulma.Wanawadharau mafukara na Watumishi wa Umma,Na kujiona wao kwa ile dhulma ndiyo wamekuwa watakatifu,Huku wakichagua mpaka aya za Mwenyezi Mungu ili wasomewe wazipendazo tu,Na kuzikataa aya zote zinazogusa unafiki wao na familia zao.
Hiki ndicho kitakuwa chanzo kikuu cha Wanasiasa kutupwa motoni.
Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania,Akimuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa JMAT huko ArushaTarehe 26/02/2025 alisema:"Naomba niwasihi Viongozi wa Dini muendelee kushirikiana na Serikali, muendelee kuunganisha nguvu zenu na kutoa sauti kubwa tuu ambayo ina nguvu kwenye Jamii yetu ili ilifanye Taifa hili liweze kupata Utulivu wa Hali ya Juu."
🥹🥹🥹Hivi ndivyo nilivyokuwa nikiropokwa ndotoni nikiwa naota huku kichwa changu kikiwa kinapiliziwa bangi na majini.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mathias Mugerwa Kahinga