Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kina Gay ammbaye ni KEMkuu we ni Ke au Me?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina Gay ammbaye ni KEMkuu we ni Ke au Me?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukimbandua huwa hakuiti baby au my.Ye anakuitaga boy wangu.Utashangaa anakutumia msg oyaaa boy sina pedi.
Lakin bado hajafunga ndoa?Msomali mmoja hivi.
Mkuu unamaanishaMungu baba yetu aliyembinguni?Nikuomba Mungu tuu. Mungu awalinde Watoto wetu.
kwa hiyo unataka kuniambia p funk anapitia maumivu makaliUmesha anzisha familia? Namaanisha mume na mke, halafu mmebahatika kupata watoto?
Maisha ya duniani yaacheni yapite, maumivu ayapatayo mzazi kwa mienendo mibovu ya watoto hayapimiki.
Muombe sana Muumba wako akunyoshee uzao wako.
Hakuna mzazi aliye fundi kwenye malezi ya watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuaje ikawa hivyo nasikia wengine huwa wanabakwa wakiwa wadogosometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
hivi nani kamuoa yule demu?Hapana, Fetty ana mtoto kabisa mkuu
Kuhusu ndoa sijui mkuu..msomali alimwachisha kazi clouds na kumfanya afanye biashara,na sasa amerudi tena clouds..Lakin bado hajafunga ndoa?
Mi naona katoto tu alificha sana mimba naona
Ulianzaje anzajesometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
mzee inaonekana una uzoefu nao sanaUkimbandua huwa hakuiti baby au my.Ye anakuitaga boy wangu.Utashangaa anakutumia msg oyaaa boy sina pedi.
Gayism ni pana, hata lesibian ni gayAmesema yeye ni gay.... ikiwa na maana ya kwamba ni mwanaume anayejihusisha na mapenzi kinyume na maumbile......
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna tom mmoja nilimkuta anampandishia sauti mvulana eti aache kumtongoza demu wake daaaah nilichoka aisee
Kwani huwezi acha hio tabia?sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine
MmhHakika
Mwanaume akienda kaenda
Mwanamke unaeza mrudisha
Mkuu unamaanishaMungu baba yetu aliyembinguni?
naomba nikukumbushe kisa cha huyu "dada" mwanariadha maarufu kutoka Afrika kusini kwa jina la Caster Semenya, kwenye kukimbia ailikuwa anawahenyesha wanawake wenzake kiasi cha shirikisho la riadha la kimataifa kutilia shaka kama kweli ni "mwanamke" maana uke anao, na matiti pia anayo vitu ambavyo kwa mazoea yetu tunaamini ndivyo utambulisho wa jinsia ya mwanamke! Wenzetu wakaenda mbele zaidi ya mazoea (ni kawaida tu kwao) wakapima vichocheo vya mwili (hormones) na kugundua kumbe mwili ni wa kike ila ana hormone nyingi za kiume. ( ndio maana nikakuuliza uliposema Mungu awalinde watoto wetu nimeshangaa kwakuwa Mungu huyo huyo kakosea yeye katika kuwaumba)
Sakata la Semenya lilifika hatua shirikisho kumtaka apewe zawa za kupunguza hormone za kiume na yeye akakataa na ukawa mwisho wake kushiriki riadha za kimataifa na wadada wenzake, nasikia sasa hivi kaamua kucheza mpiura wa miguu na wanawake(nitaomba kusahihishwa kama aliruhusiwa tena kukimbia)
Nimefanya kazi kama mkunga kwa miaka zaidi ya 15 kwenye wodi za wazazi bize sana, nimeshuhudia vilema vingi wanavyozaliwa navyo watoto....ila vipo vilema ambavyo havionekani kwa macho yetu, hormone za kike kupewa wakiume na za kiume kupewa wa kike ambavyo mimi Ndebile ninaamini ndicho chanzo kikubwa cha hawa watu wanaosemwa kwenye uzi huu...
Sitaki kusemea wale ambao wamejifunza ila najiuliza kama mzazi mwanangu wa kike anapocheza na kubeba mdoli wake kama mtoto, anapochezea makopo yake na kupika akiigiza umama iweje ageuke tena na kubana matiti yake ili kifua kiwe kama cha kaka yake !
View attachment 1765502
Anaacha anarudi anaacha anarudiKuhusu ndoa sijui mkuu..msomali alimwachisha kazi clouds na kumfanya afanye biashara,na sasa amerudi tena clouds..
Kua uyaoneHivi wana wazazi hawa??? Bado nashindwa kuamini inakuwaje kuwaje yaani mpaka mtoto anafikia stage hiyo.
Nikuwe mara ngapi bob?Kua uyaone