Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Muniwie radhi kama nitaingilia Imani za watu
You gerrit???
If you don ...gerrit
You gerrit???
If you don ...gerrit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unawaachia nini watoto wako?
Nimewaachia Njiwa pale ChatoWe unawaachia nini watoto wako?
Kwanini mimi ni mzungu mkuu??Hebu tuambie wewe wamekuachia nini kati ya hivyo viwili?
[emoji1787] mkuu hii game bado mbichi. Hapa duniani mungu anampango wake na kila mmoja wetu na hakuna wa kuzuia hilo, sahiv injili sio muhimu kwako ila ukivuka hatua ya lazaro na tajiri itakuwa point of no returnMuniwie radhi kama nitaingilia Imani za watu
View attachment 2036137
You gerrit???
If you don ...gerrit
Maskini ya mungu hujaelewa hata naamaniisha nini??[emoji1787] mkuu hii game bado mbichi. Hapa duniani mungu anampango wake na kila mmoja wetu na hakuna wa kuzuia hilo, sahiv injili sio muhimu kwako ila ukivuka hatua ya lazaro na tajiri itakuwa point of no return
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Ndo maana mimi na watoto wangu hatuendi church inashangaza sana MUNGU yupo tayari ambariki jambazi kuliko mshinda kanisani.Hapa namanisha unashinda kanisani kuombea hela ya chakula ila jambazi anaenda kuitafuta kwa nguvu anapata wewe unakosa.Muniwie radhi kama nitaingilia Imani za watu
View attachment 2036137
You gerrit???
If you don ...gerrit
AiseeeNdo maana mimi na watoto wangu hatuendi church inashangaza sana MUNGU yupo tayari ambariki jambazi kuliko mshinda kanisani.Hapa namanisha unashinda kanisani kuombea hela ya chakula ila jambazi anaenda kuitafuta kwa nguvu anapata wewe unakosa.
Mbaya zaidi hao wajanja waliotengeneza hayo ma dini huko ulaya na kutuletea hawana hata time nayo sisi huku tupo bize kuyakumbatia kwa feelings zote.WAZUNGU WAMEVUKA LEVEL YA UFIKILI HAWAISHI KWA HISIA WANAISHI KWA RESEARCH,PLAN, IMPLEMENTATION AND EVALUATION.Sisi rangi nyeusi ni wavivu tunataka tupate ahueni ya maisha kwa maombi ambayo ni sawa na mazingaombwe ndo maana wakaina Mwampo wanatupiga hela kwa mahisia yetu yaliyozaliwa na uvivu wetu.
True“When the missionaries came to Africa they had the Bible and we had the land. They said "Let us pray." We closed our eyes. When we opened them we had the Bible and they had the land.” ― Desmond Tutu.
Kwakwelii mkuu bora umeliona hiloMkuu huu Uzi wako uko beyond the border..ndio maana vilaza wameshindwa kuelewa
Kwani cha Muddy hakuna vya bluu...Mbona ujaweka kile kitabu Cha mtume Muddy?
Kabisaa mkuuInahuzunisha sana...