Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Chuo kikuu kishiriki cha masomo ya ushirika na biashara Moshi (MUCCoBS) ambacho ni tawi la SUA kimeendelea kuthibitisha kuwa ndio chuo bora zaid katika masomo ya biashara. Katika matokeo ya mitihani ya bodi ya uhasibu (CPA) wanafunz wote wa MUCCoBS waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa. Upande wa mitihani ya bodi ya ugavi (PSBTB) 80% ya waliopita wamemaliza MUCCoBS! Wewe una maoni gani? Kwangu mimi hichi ndio chuo bora cha biashara Tz
Haya bana kwani biashara ni uhasibu na ugavi pekee yake ?.Vipi mchepuo wa masoko,International Business,HRM .....
Weka idadi ya wanafunzi wa kutoka MUCCOBS waliofanya mtihani NBAA na idadi ya wanafunzi wote waliofanya mtihani huo. Hii itasaidia kufanya ulinganishi wa kiuwiano.
Ukishindwa kufanya kama nilivyo kuelekeza, utatuthibitishia wasomaji kuwa MUCCOBS ni chuo cha vilaza, maana mwaka wangu wa masomo tulipojiunga na mwaka wa kwanza, mnamo mwaka 2007, asilimia kubwa ya waliojiunga na MUCCOBS ni wale waliochemka kupata UDSM na MZUMBE kwenye masomo ya biashara.
Tuwekee wewe takwimu(idadi) ya hao wanafunzi wa MUCCoBS ,ambao unasema mwaka wenu 2007 walikosa nafasi UDSM&MZUMBE ukishindwa kufanya hivyo wewe utakuwa ni muongo,mmbea na mzandiki
Weka idadi ya wanafunzi wa kutoka MUCCOBS waliofanya mtihani NBAA na idadi ya wanafunzi wote waliofanya mtihani huo. Hii itasaidia kufanya ulinganishi wa kiuwiano.
Ukishindwa kufanya kama nilivyo kuelekeza, utatuthibitishia wasomaji kuwa MUCCOBS ni chuo cha vilaza, maana mwaka wangu wa masomo tulipojiunga na mwaka wa kwanza, mnamo mwaka 2007, asilimia kubwa ya waliojiunga na MUCCOBS ni wale waliochemka kupata UDSM na MZUMBE kwenye masomo ya biashara.
hilo swali hata ww unaweza kujiulizaa;
hivi mwaka wenu 2012/2013 chaguo lako la kwanza kwenye zile choice nane mlizopewa na tcu ilikuwa kutoka chuo kipi..! Unapotaka kujibu zingatia ufaulu wako..., by the way jibu unalo mwenyeweee..!
hahahaha kweli mkuu,kwa mwaka hu walioweka muccobs chaguo la kwanza wachache yan hawazd 30.muccobs naikubal ila mi nimechaguliwa mzumbe nilichagua hivi.chaguo la 1.mzumbe baf 2.udsm bcom 3.muccobs baaf 4.ifm 5.ruco bafit.walioomba udsm na mzumbe na ardhi kama chaguo la kwanza ni zaid ya elfu mojaa,tena waliongoza mzumbe kwa wingi,ifm,mucobs,rucco,walioweka chaguo la kwanza si weng kabsa.
Chuo kikuu kishiriki cha masomo ya ushirika na biashara Moshi (MUCCoBS) ambacho ni tawi la SUA kimeendelea kuthibitisha kuwa ndio chuo bora zaid katika masomo ya biashara. Katika matokeo ya mitihani ya bodi ya uhasibu (CPA) wanafunz wote wa MUCCoBS waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa. Upande wa mitihani ya bodi ya ugavi (PSBTB) 80% ya waliopita wamemaliza MUCCoBS! Wewe una maoni gani? Kwangu mimi hichi ndio chuo bora cha biashara Tz
wel said me ilikuwa
1.ardh
2.sua
3.udsm
4.udom
5.ifm over
mnaongoza mara moja kwa miaka 5 mnaletaa mbwembwe hapa.!
@vyuo bora vya biashara ni;
1. IFM
2.TIA
3.MUCCoBS- ambacho mnakisifaa sifiaa wakati hakina tofauti na vingine
4.UDSM
5.IAA
6.CBE..!
onyO ; sitaki malumbano