Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Chuo kikuu kishiriki cha masomo ya ushirika na biashara Moshi (MUCCoBS) ambacho ni tawi la SUA kimeendelea kuthibitisha kuwa ndio chuo bora zaid katika masomo ya biashara. Katika matokeo ya mitihani ya bodi ya uhasibu (CPA) wanafunz wote wa MUCCoBS waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa. Upande wa mitihani ya bodi ya ugavi (PSBTB) 80% ya waliopita wamemaliza MUCCoBS! Wewe una maoni gani? Kwangu mimi hichi ndio chuo bora cha biashara Tz