Hiki ndio chuo bora cha biashara Tanzania!

Hao washkaj zao walizolewa zolewa ngoja watakuja kukupa habari yao kuhusu ifm.
 
halafu kuwajulisha tu, vyeti vya MUCCoBS haviandikwi MUCCoBS bali SUA..! Najua wenyewe mnajua penye SUA wengine wote wanafyata mkiaaa!
 
Hiv unapozungumzia biashara x unaongelea financial sectorz ? Kama ndyo hvo IFM ndiyo chuo pekee bora..kwa sababu hata ktk uajiliwaji Wanafunzi wa IFM ndo mara nyng wanapewa kipaumbele .NIMTAZAMO TU
 
Huna akili weweee mimi nimefanya chaguzi zangu kwa jinsi nilivyopangaa

kwani ugomvi mpigachabo mbona kuhusu shule ulizosoma ulituambiaa o'level mzumbe, a'level tabora boys..! Sasa machaguo ya kwenda chuo ndo unashindwaa kutuambia jamaniii..! By the way ukweli uanao moyoni
 
Last edited by a moderator:

ndio maana nasema unakurupukaaa,, ili kuwa boss(mkurugenzi),, kwanza tuanze na tafsiri ya neno mkurugenzi; ni kiongozi wa taasisi,shirika au kampuni ,, na kutokana na vigezo vya kumpandisha mtu madaraja aidha kwa usomi au utumishi wa muda mrefu ,mtu yoyote yule mwenye vigezo anaweza akateuliwa kuwa mkurugenzi bila ya kujali kasomea wapi hiii ni kutokana na taratibu za utumishi,, halafu nataka uje utaje wakurugenzi/maofisa 100 wa ngazi za ngazi za juu katika makampuni makubwa ambao unasema wamesomea kwenye hivyo vyuo vyako
 
Hiv unapozungumzia biashara x unaongelea financial sectorz ? Kama ndyo hvo IFM ndiyo chuo pekee bora..kwa sababu hata ktk uajiliwaji Wanafunzi wa IFM ndo mara nyng wanapewa kipaumbele .NIMTAZAMO TU

heri yako ww uliesema ni mtazamo tuu!
 
ata kama si asilimia 90,weng wanajaza udsm,ila mi kwenye kundi hilo cpo,japo nilikuwa na sifa zaidi.kweli perry,ila si asilimia hiyo coz mfano udsm wanataka point kubwa sizan kama zaid ya 70percent wote wakawa na div 1 na 2 na baadh 3 za kuomba ud.mtazamo tu.
 
Binafsi katika machaguo ya vyuo vikuu nilichagua random ,kutokana na ukweli kwamba katika kozi za sanaa hakukuwa na chuo kilichoweka cuttof zaidi ya tano

ni kweli maana inaonekana ulikuwa na cut point nzuri nimeangalia post zako nyuma
 
nimekupata,ila ifm wanachukuliwa sana kwenyd mabenk,wizara ya fedha,ila mucobs mna units nyng kama saccos,agriculture economics,lakn kila chuo kilianzishwa kwa malengo,mfano mzumbe ni kutoa managers kwa gvt/institute of dvpt mgt.tatu account 1,2,3,4,5 ni majina tu,mzumbe kuna acount introductn na advance a/c ,cost,mgt,lakn hawaja group kama muccobs.
 
halafu kuwajulisha tu, vyeti vya MUCCoBS haviandikwi MUCCoBS bali SUA..! Najua wenyewe mnajua penye SUA wengine wote wanafyata mkiaaa!

mkuu unasoma sua au muccobs?moro na moshi wapi na wapi,kuna mtu aliniambia anasoma udsm kumbe yupo mwuce kulee .
 
mkuu unasoma sua au muccobs?moro na moshi wapi na wapi,kuna mtu aliniambia anasoma udsm kumbe yupo mwuce kulee .
Hivi umekielewa kweli nlichokiandika au ndo kiropo? Kwan wanaosoma Jordan Moro wanakuwa registered na nani? Si SAUT au? Sasa wanapograduate na vyeti vyao vikandikwa SAUT kwan na wao walisoma MWANZA? Maoni yako yanaonyesha we mtu wa kiwango gani!
 
Jamani mimi napita tu lakini kabla sijaishilizia acha nitoe msisitizo....

UDSM **BABA LAAO**
 
Hivi umekielewa kweli nlichokiandika au ndo kiropo? Kwan wanaosoma Jordan Moro wanakuwa registered na nani? Si SAUT au? Sasa wanapograduate na vyeti vyao vikandikwa SAUT kwan na wao walisoma MWANZA? Maoni yako yanaonyesha we mtu wa kiwango gani!

hahaha
 
.hahahahahaha.gud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…