Hiki ndio chuo bora cha biashara Tanzania!

Hivi umekielewa kweli nlichokiandika au ndo kiropo? Kwan wanaosoma Jordan Moro wanakuwa registered na nani? Si SAUT au? Sasa wanapograduate na vyeti vyao vikandikwa SAUT kwan na wao walisoma MWANZA? Maoni yako yanaonyesha we mtu wa kiwango gani!
.hahahahahaha.gud ni maoni tu
 
Sasa post zake na cutpoint zinaungilianaje...bila shaka hili ni tusi la chini kwa chini

ninamaana wanaoomba ud ,sua,mzumbe,na vingnevyo kama chaguo la kwanza wanapoint kubwa,sasa mpigmsuli anasema alijaza random
 
Yani kuna cku nlienda pale muccobs nikaanza kucheka mwenyewe 2.chuo kiko kama shule ya msing bana,eti wanajicfia kusoma units nyng,ukiangalia masomo yao meng wanayosoma yamebase kwenye mambo ya ushirika afu mtu kama huyo anasema eti nae yuko nondo kwenye accounting,hata huko kwenye hzo bank unazosema mmeajiriwa,ni mmeajiriwa kama maclerk tu kwa sababu mko cheap mnakubali kulipwa vilaki vitatu lakn huwezi kukuta graduate wa udsm,mzumbe au ifm kaajiriwa kwenye vibank uchwara kama hvo,waajir wenyewe wanajua mtu wa udsm,mzumbe au ifm ukimzngua anasepa coz wako marketable na wanatakiwa na makampuni mengi tu.kampuni au organization makini haiwez kuajiri mtu ku toka muccobs otherwise iwe inahitaji cheap labour.over
 
Mweee we kumbe ndo bureee! Afadhali lakin umeonyesha upeo wa uchambuzi wako, kwa hiyo we chuo bora kwako ni majengo mazuri? Aya kama ndo ivyo basi chuo bora TZ ni UDOM! Alikwambia wanafunz wa MUCCoBS wanasumbuliwa na ajira nani? Gamba linasoma SUA afu unaleta cha kwako kimeandikwa "institute" pumb**avuu!
 
hujielewi wewe eti wakimzingua anasepa unajua ajira wewe?? ,
MUCCoBS ,ni chuo bora ,,
 

kuna ukweli ndan yake kabisa
 
Sijui kwako wewe chuo bora ni kipi? Ni kile chenye majengo mazuri? Ni kile chenye wasichana wazuri? Ama ni kile chenye kutoa watu competent? Kama ni kile chenye kutoa watu competent then SUA and all its branches are the best colleges ever appeared in TZ!
 

dogo nishakwambia uwezo wako ni mdogo na unakurupuka tu,kwenye biashara siku hizi kuna kitu kinaitwa circulation of labour in the organization,mfano NMB leo utakuwa teller,kesho customer care,kesho kutwa utakuwa loan officer,then financial advicer and proposal,utarudi kuwa marketing unit,utaenda bulk officer then utarudi teller.. PIA toa uthibitisho ni bank gani haina majembe ya Muccobs na wako nafasi nzuri tu? Pia mwezi wa saba Twiga walitangaza nafasi za bank tellers..kwa taarifa yako hao majembe wako wa udsm na mzumbe ndo waliongoza kwa barua za maombi,kwenye interview walijikuta vilaza wakati majembe ya Muccobs yakizoa nafasi 8 kati ya 10, kuna tangazo la kazi TRA tayari waombaji wameshaanza kuonyesha hofu kwamba ni tangazo kwa wahasibu wahitimu wa muccobs,ushahidi Jukwaa la kazi,title TRA WATANGAZA AJIRA MPYA. ZAIDI nieleze ni chuo gani wanafunzi wake wakikaribia kumaliza makampuni yanaanza kuwamendea kama siyo Muccobs pekee..mwaka jana program ya cma wanafunzi 30 walipata ajira bado yako chuo..baaf wanafunzi 25 walipata ajira za moja kwa moja..na kwa taarifa tu,UKISOMA Muccobs uka graduate vzr kufulia mtaani bila kazi ni uzembe wako kwani uko market kila sehemu..since gvt,private company,charits,NGO'S, Saccos nk..IFM upende kwenda field usipende ni kwako kwani wana kitu wanaita project eti ni substitute ya field! MWISHO: vyuo vikuu mitihani inatungwa na walimu wa masomo,so hatuna sehemu nyingine ya kupambanisha ubora huo except mitihani ya bodi inayokutanisha wahitimu wa vyuo vyote, je kwa bodi ya wahasibu NBAA ni nani kama Muccobs ? kwa bodi ya ugavi ni nani kama Muccobs ? HIVYO MUCCOBS NDO (T.O) WENGINE WANAFUATA MKIA.
 
Safi sana labda we watakuelewa manake kuna mijitu inabishana na facts! Yanabisha halafu hayana facts wala knowledge ya yanachoongea! Fact ni kwamba MUCCoBS is da best college in business studies!
 
Safi sana labda we watakuelewa manake kuna mijitu inabishana na facts! Yanabisha halafu hayana facts wala knowledge ya yanachoongea! Fact ni kwamba MUCCoBS is da best college in business studies!

Programme Objectives The programme is designed to produce professionals in Business Accounting and Finances Local Government Accounting and Finance, Public Sector Accounting Finance and Investigation suitable for the Tanzania Government Environment. On successful completion of the programme, graduates will be exempted from foundation and intermediate stages of NBAA scheme of examinations. The graduands will also be exempted from seven papers in the fundamental level of ACCA. Mzumbe University is currently the only institution in the country with such an arrangement.
 
mzumbe university bachelor of acc and financ.QMS 101
Mathematics
QMS 102
Statistics
ICT 210
Information
Systems &
Advanced
Computing
ACC 251
Managerial
Finance
F
ACC 360
International
Finance
ECO 100
Micro
Economics
ACC 101
Financial
Accounting I
ACC 202
Financial
Accounting II
ACC 203
Financial Accounting
III
I
ACC 391
Taxation
ACC 100
Introductory
Accounting
ECO 101
Macro Economics
ACC 221
Cost Accounting I
ACC 222
Cost Accounting II
E
ACC 381
Government
Accounting
LAW 105
Mercantile
Law I
LAW 106
Mercantile
Law II
ACC 231
Auditing I
ACC 232
Auditing II
ntamalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…