dogo nishakwambia uwezo wako ni mdogo na unakurupuka tu,kwenye biashara siku hizi kuna kitu kinaitwa circulation of labour in the organization,mfano NMB leo utakuwa teller,kesho customer care,kesho kutwa utakuwa loan officer,then financial advicer and proposal,utarudi kuwa marketing unit,utaenda bulk officer then utarudi teller.. PIA toa uthibitisho ni bank gani haina majembe ya Muccobs na wako nafasi nzuri tu? Pia mwezi wa saba Twiga walitangaza nafasi za bank tellers..kwa taarifa yako hao majembe wako wa udsm na mzumbe ndo waliongoza kwa barua za maombi,kwenye interview walijikuta vilaza wakati majembe ya Muccobs yakizoa nafasi 8 kati ya 10, kuna tangazo la kazi TRA tayari waombaji wameshaanza kuonyesha hofu kwamba ni tangazo kwa wahasibu wahitimu wa muccobs,ushahidi Jukwaa la kazi,title TRA WATANGAZA AJIRA MPYA. ZAIDI nieleze ni chuo gani wanafunzi wake wakikaribia kumaliza makampuni yanaanza kuwamendea kama siyo Muccobs pekee..mwaka jana program ya cma wanafunzi 30 walipata ajira bado yako chuo..baaf wanafunzi 25 walipata ajira za moja kwa moja..na kwa taarifa tu,UKISOMA Muccobs uka graduate vzr kufulia mtaani bila kazi ni uzembe wako kwani uko market kila sehemu..since gvt,private company,charits,NGO'S, Saccos nk..IFM upende kwenda field usipende ni kwako kwani wana kitu wanaita project eti ni substitute ya field! MWISHO: vyuo vikuu mitihani inatungwa na walimu wa masomo,so hatuna sehemu nyingine ya kupambanisha ubora huo except mitihani ya bodi inayokutanisha wahitimu wa vyuo vyote, je kwa bodi ya wahasibu NBAA ni nani kama Muccobs ? kwa bodi ya ugavi ni nani kama Muccobs ? HIVYO MUCCOBS NDO (T.O) WENGINE WANAFUATA MKIA.