Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Ni uharamia na uhalifu mtupu.Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.
Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.
Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!
Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.
Weka ukweliHakuna kitu Kama hicho.
Muongo mkubwa
Lete ukweli wako chawa😂🤣🤣🤣, unakataa na ushahidi upo mezani? Kenge maji kabisa!Hakuna kitu Kama hicho.
Muongo mkubwa
Nilete ukweli gani kwenye uongo. Hayo uliyoandikia ni uongo hakuna kitu Kama hichoWeka ukweli
Hoja hupingwa kwwa hoja
Unadanganya watu halafu unasema nilete ukweli wangu kivipi? Mm nimesema ukweli ni kwamba hayo unayodai yalifanyika ni uongo. Acha upumbavuLete ukweli wako chawa😂🤣🤣🤣, unakataa na ushahidi upo mezani? Kenge maji kabisa!
Upumbavu unaleta wewe halafu unatuambia wengine tuuache?😂🤣🤣 embu tutolee nywinywinwyi hapa😏Unadanganya watu halafu unasema nilete ukweli wangu kivipi? Mm nimesema ukweli ni kwamba hayo unayodai yalifanyika ni uongo. Acha upumbavu
Natamani kukutukana ila nimefikiria hata kama nikikutukana haitasaidia kituHakuna kitu Kama hicho.
Muongo mkubwa
Hii ilikuwa moja ya strategy, hata hivyo haikufanya kazi. Internet ilizimwa, fujo zilitokea na hata kura zenyewe hazikuhesabiwa. Walichofanya ni kupika kura tu. Yale matokeo alaiyo kuwa anayasoma yule mzee yalikuwa 100% ya kupika.Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.
View attachment 3497190
Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.
View attachment 3497191
Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!
Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.
View attachment 3497192
View attachment 3497194
Kwa hiyo kwa maoni yako ukiwa na akili timamu bila msukumo wowote unakiri kwamba raia 32M walipiga kura??Hakuna kitu Kama hicho.
Muongo mkubwa
unachosema ni ukweli 99%Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50.
View attachment 3497190
Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya majumuisho ya kura kwenye vituo husika na kuwasilisha kile walichopokea kwenye vituo vyao, wasimamizi wakuu walitoa order ya karatasi zilibaki zote zijazwe.
View attachment 3497191
Yaani kama ulikuwa na karatasi 40 unaambiwa zote utiki kwa Samuya na wabunge, madiwani wa CCM. Ukikataa kufanya hivyo unatishiwa maisha au hata kuharibiwa kazi yako, hivyo kwa hata hao wachache waliojuta kusimamia uchaguzi walishiriki udhalimu huyo na Samuya akatangazwa kushinda kwa asilimia hizo!
Ila unajua nini, hii haitapita hivi hivi, wananchi tutajibu haya yote yaliyofanyika. Samuya na genge lako mjue tu siku zenu zimeisha, Mungu asipoingilia tutamsaidia kuonesha njia kuhakikisha kila damu iliyomwagwa italipwa.
View attachment 3497192
View attachment 3497194
Na ndyo ukweli wenyeweKwa hiyo kwa maoni yako ukiwa na akili timamu bila msukumo wowote unakiri kwamba raia 32M walipiga kura??
Mnadanganyana Bureunachosema ni ukweli 99%