Hiki ndio sijapenda kwenye 40 ya mtoto wa Diamond

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.

Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.

Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
 
Sherehe yenyewe ilikaa ki pashkuna sana ndio maana watu waliamua Ku deal na kick tu Lulu diva hana kosa
 
Kilichonisikitisha ni baba diamond ametia chakula alipoenda mtoto wake na yeye akaamua kufata mara akatokea mume wa no Sandra akamwambia asiende huko huyo baba wa watu akageuza baadae anapushana na mtoto wake kama hawajuani na tanasha ila kwa tanasha simlaumu.
 
Tanasha hajajisikia wivu, ila wewe chalii umejisikia wivu Mond kukatikiwa UNO.

Au unataka kuichukua nafasi ya Tanasha?
 
Jamani si ndo anajitangaza hivyo au?
Afu wambie mods warekebishe kichwa cha nada maana umeandika kama mjaluo ndio kaandika "hiki ndio"
 
Kwahio Lulu Diva kamkatikia diamond wewe Innocent unaona wivuu [emoji23][emoji23]! ..mamaae utakuwa si riziki wew
We ujanielewa kitendo alichofanya lulu diva si kizuri cos anamkatikia mondi ikiwa tanasha yupo kwani we uoni ni kitu kibaya
 
Sina ufahamu mzuri Sana na maan ya 40.. lkn kwa nilivyoangalia pale ni Kama ni maswala ya dini. Asa mamiuno Yale, vivazi vile kwel
mtoto hushauliwa kutoka ne siku ya 40 toka alipozaliwa
ko watu wenye uwezo wao ndo huwafanyia hzo sherehe na hayo ni moja ya mambo atakayokutananayo ulimwenguni ko hapo alikuwa anaoneshwa tu yanayojiri huku nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…