Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.