The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kimelegea hicho mkuu,inamaana kilikuwa juu. Ni uzalendo unatakiwa hata wewe uliyepiga picha unaweza kikupandisha,yaani tunafanya wewe ndyo wa kwanza kukiona.
Watasema Anang'oa Chuma ChakavuKimelegea hicho mkuu,inamaana kilikuwa juu. Ni uzalendo unatakiwa hata wewe uliyepiga picha unaweza kikupandisha,yaani tunafanya wewe ndyo wa kwanza kukiona.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Great Thinkers
Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini.
Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza.
Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao.
Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna watendaji wa serikali wanasema wanaupiga mwingi..
Hatujawahi kuwa serious hata kidogo.
View attachment 2849278
Akichukuliwa hatua yoyote kwa kufanya hivyo nadhani wanaohusika watakuwa wamekosea pakubwa sana ukiachana na sheria inavotakaUnataka apewe kesi ambayo hata weza kujitetea. Leo ukirekebisha barabara Tanroads ama Tarura wanazaa na wewe, inabidi uombe kibali.
Labda umshauri aende kuomba kibali [emoji3][emoji3]
Swali kwa nini kilegee. Mbona vya zamani hapo city centre vipo imara miaka nenda Rudi toka enzi zs mwalimuKimelegea hicho mkuu,inamaana kilikuwa juu. Ni uzalendo unatakiwa hata wewe uliyepiga picha unaweza kikupandisha,yaani tunafanya wewe ndyo wa kwanza kukiona.
Havikuwa na ubora wowote ndiyo maana karibia vyote vipo chini Tanzania nzima.Ni wenyeviti wa mitaa wachache sana, sawa na hakuna ndio hurudishia vibao vilivyoharibika/kuharibika. Karibu nchi nzima vibao vimeharibika ndani ya muda mfupu, haijulikani ni washenzi gani wanaharibu vibao hivi, vile vya nguzo za miti mchwa wamekula vimeanguka na hakuna anayejali kuvichimbia tena.
Ukiwa unaenda Tundwi Songani kigamboni kupitia njia ya Vikindu kuna vibao vya tangu enzi ya mwingereza vipo intact kabisa.Swali kwa nini kilegee. Mbona vya zamani hapo city centre vipo imara miaka nenda Rudi toka enzi zs mwalimu
Umeona kimebanwa na rivet tool haiwezekani mpita njia bila kifaa bila ruhusa ya TANROADS au sijui TCRA kitengo cha anuani za makazi uende ukakate za mwanzo uanze kuweka mpya au screws.Kimelegea hicho mkuu,inamaana kilikuwa juu. Ni uzalendo unatakiwa hata wewe uliyepiga picha unaweza kikupandisha,yaani tunafanya wewe ndyo wa kwanza kukiona.
Wamelala wanamchangia Bitozo hela ya form ya uraisi.Umeona kimebanwa na rivet tool haiwezekani mpita njia bila kifaa bila ruhusa ya TANROADS au sijui TCRA kitengo cha anuani za makazi uende ukakate za mwanzo uanze kuweka mpya au screws.
Wahusika wakague na kurekebisha.
Hii ndiyo tz yetu, yaani atapewa kesi ya uhujumu uchumi....ππππWatasema Anang'oa Chuma Chakavu
Mkuu hii inasababishwa na nini kwamba wanahisi umewadharau kusimamia majukumu yao au wivu tu.Unataka apewe kesi ambayo hata weza kujitetea. Leo ukirekebisha barabara Tanroads ama Tarura wanazaa na wewe, inabidi uombe kibali.
Labda umshauri aende kuomba kibali [emoji3][emoji3]