Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

Great Thinkers

Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini.

Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza.

Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao.

Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna watendaji wa serikali wanasema wanaupiga mwingi..

Hatujawahi kuwa serious hata kidogo.
View attachment 2849278
Tarura na Tanroads wanapita hapo lakini hawakioni. Wawe wanatembea na matechnician kwenye hizo stl na stk kwa ajili ya kurekebisha haya. Bila kusahau chepeo kwa ajili ya kuondoa vifusi vidogovidogo vilivyopo barabarani
 
Great Thinkers

Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini.

Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza.

Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao.

Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna watendaji wa serikali wanasema wanaupiga mwingi..

Hatujawahi kuwa serious hata kidogo.
View attachment 2849278
Hapa mkuu wa mkoa yupo na huenda kishaona hii lakini yuko kimya anacheka tu
 
Back
Top Bottom