Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

Tarura na Tanroads wanapita hapo lakini hawakioni. Wawe wanatembea na matechnician kwenye hizo stl na stk kwa ajili ya kurekebisha haya. Bila kusahau chepeo kwa ajili ya kuondoa vifusi vidogovidogo vilivyopo barabarani
 
Hapa mkuu wa mkoa yupo na huenda kishaona hii lakini yuko kimya anacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…