Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji
Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila sehemu kuna pavement au lami in short hakuna vumbi
Katika miji yote dunian ambayo ni megacity beijing ni masterpiece japokua seol, shanghai, seoul na tokyo ni mizuri ila kwa mtizamo wangu haifikii beijing ndo mji wa kisasa uliojengwa vizuri kupita maelezo pale wachina walituliza akili kisawa sawa ukiwa beijing unaweza jiuliza sisi tumefail wapi
Miaka ya 90 maeneo ya Mbezi, Goba, Madale, Bunju, chanika kulikua ni mapori lakin leo hii huko kote ni makazi mapya ila ni squatter za kufa mtu.
Swali la kujiuliza inamaana viongozi wa kipindi hiko hawakuona mbali kwamba less than 40 years hayo maeneo yatakua mjini
Ukienda nigeria mji kama lagos uko hovyo kupita maelezo hii inakuonyesha viongozi wana upeo mdogo sana hawaoni mbali hata kidogo, nchi za kiafrika ambazo kwenye mipango miji wanajitahidi sana ni bostwana na namibia
Na mbaya zaid hakuna hatua zozote zile viongozi wetu wanazochukua yaan sisi na vitu vizuri ni kama maji na moto kwa mtu aliyetembe miji ya afrika ni mibaya kweli kweli ni kwa sababu tu ni nyumban ila miji yetu ni mibaya sana mfano mji kama dar public space hamna mfano wa nzile manzari nzuri zilizoipamba udsm hakuna