Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Kumbe sio .tu mzima kivitendo, umenipa miaka 2 kuanza darasa la kwanza kwani mi nilianza 1993 nikaacha na kurudi kuchunga ng'ombe Umasaini then nikaanza rasmi 1994.Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 (std 2) 1994 (std 3) 1995 (std 4)
Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.
Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev (Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon
Nolstagia is real
Sasa mbona unaandikaga masuala ya kizee tu humu?😀😀