Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaishi na viumbe wengi sana wa ajabu ajabu,sema wakijidhihilisha ndo huwa tunaona kisanga,ila kikawaida sisi na wao tunamipaka na ndio mana ni nadra sana kuwaona kwa macho yetu ila wao kwa asilimia kubwa huwa wanatuona tu tunavyofanya vioja vyetu hapa duniani.mimi nilishawahi pata mauzamauza nikiwa moja ya shule kongwe kabisa iliyopo moshi, aisee nilitoka dom ghorofani usiku wa manane kujisaidia vyoo vya nje chini kwa pembeni ya dom kuna laundry sasa siku hiyo umeme umekatika na usiku giza nene na mvua...aloo ile nakojoa nikashangaa naingiwa na hofu mpaka mwili na nywele kusimimika aloo ile kugeuka naona mrefu pembeni yangu kavaa kanzu huku kashika ubao wa square hivi kama bango mwekundu...
Aloo nilipagawa nikimshika nashika hewa, hapo hata mkojo sikumaliza nikasema nisepe nipande gorofani kabla hata sijamaliza kutoka mbio na giza lote usiku namuona mbele yangu tena...dah nilipaniki sema uzoefu ulinisaidia maana giza la usiku nilipanda ngazi ghorofani mbio sio kitoto mpaka kwa cubic yangu nakudandia dekani kitanda ninacholala nikajifunika gubigubi huku moyo mbio na nawazo tele hata sikujua usingizi ulinichukua saa ngapi kustuka kesho yake ilikua ni jumamosi nikawa niko kitandani nawaza kilichotokea usiku wa jana yake ni nini...sitasahau mpaka leo
a
Aloo pole sana ndugu yangu, hivi viumbe vipo ila kuamini kama vipo ni mpaka uvione. Wale ambao hawakuviona huwa ni wagumu kukubali au kuelewa mada za namna hii. Ila kwa walioviona kama sisi ni fasta tu kuelewa kilichoandikwa.mimi nilishawahi pata mauzamauza nikiwa moja ya shule kongwe kabisa iliyopo moshi, aisee nilitoka dom ghorofani usiku wa manane kujisaidia vyoo vya nje chini kwa pembeni ya dom kuna laundry sasa siku hiyo umeme umekatika na usiku giza nene na mvua...aloo ile nakojoa nikashangaa naingiwa na hofu mpaka mwili na nywele kusimimika aloo ile kugeuka naona mrefu pembeni yangu kavaa kanzu huku kashika ubao wa square hivi kama bango mwekundu...
Aloo nilipagawa nikimshika nashika hewa, hapo hata mkojo sikumaliza nikasema nisepe nipande gorofani kabla hata sijamaliza kutoka mbio na giza lote usiku namuona mbele yangu tena...dah nilipaniki sema uzoefu ulinisaidia maana giza la usiku nilipanda ngazi ghorofani mbio sio kitoto mpaka kwa cubic yangu nakudandia dekani kitanda ninacholala nikajifunika gubigubi huku moyo mbio na nawazo tele hata sikujua usingizi ulinichukua saa ngapi kustuka kesho yake ilikua ni jumamosi nikawa niko kitandani nawaza kilichotokea usiku wa jana yake ni nini...sitasahau mpaka leo
a
Kweli, huwa wanatuona vizuri na wakiamua kutufanyia ushenzi ni fasta tu. Sema ndo hivyo wengi wao hawana muda wa kufuatiliana na sisi.Tunaishi na viumbe wengi sana wa ajabu ajabu,sema wakijidhihilisha ndo huwa tunaona kisanga,ila kikawaida sisi na wao tunamipaka na ndio mana ni nadra sana kuwaona kwa macho yetu ila wao kwa asilimia kubwa huwa wanatuona tu tunavyofanya vioja vyetu hapa duniani.
Du yani baskel yako iliundwa kwa mfano wa nyoka. Hata bila miguu huwa anakimbia tu 😂😂😂Kina siku nilikua napita makaburini na baskeli sasa nikawa naona kuna mfuko mkubwa mwekundu unanifuata...
Nikakimbiza baskeli Kwa Kasi Sana kumbe tairi zote zilishatoka hata mi sijui Ila bado baskeli ilizidi kukimbia kama Ferrari
Dooo salareeeeNiaje waungwana,
Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja nililokuwa napenda kwenda kuangalia.
Banda hilo lilikuwa maeneo ya Manzese Midizini kwa mama fulan jina kapuni, na mimi home ni maeneo ya Magomeni mikumi jijini Dar es Salaam.
Njia yangu kubwa kutoka home hadi Midizini, ilikuwa kagera kimamba, nakatiza daraja la mbao, napandisha pale Mburahati Mianzini, napasua Makaburi ya Mburahati kwa jongo hadi midizini. Na kurudi i was doing the same thing kwa kufuata njia ile ile niliyokuja nayo.
Ratiba yangu kwa siku ilikuwa ni shule kwanza, nlipotoka shule, nlielekea mazoezini (mpirani), baada ya kutoka mpirani ndo nikawa naenda sasa kujipoza vibandani kumuangalia Dharmendra, Amita Bachan, Rambo, Anord, Bruce Lee nk.
Ratiba yangu ya mwisho baada ya kutoka huko katika banda la video, ilikuwa ni kwenda katika maskani yetu fulan ambayo ni ya uncle wangu kujifunza mchezo wa karate. Uncle ndo alikuwa masta wetu. Hivyo nilijiamini sana kwamba hakuna kitu au mjinga yeyote anaeweza kunifanyia ushen.z.i mbele yangu. Karate na ngumi ni michezo ambayo humfanya mchezaji ajiamini sana, kwamba anaweza kupambana na mtu yoyote, mahali popote na kwa muda wowote.
Basi bwana siku hiyo nimemaliza kumuangalia Dharmendra mida ya usiku, nakumbuka ilikuwa movie fulan inaitwa LOHA. Tukatoka kila mtu akawa anaelekea kwao. Mimi nikawa natambaa mdogo mdogo kuelekea home.
Nilivyofika katika makaburi ya mburahati kwa jongo kama kawaida yangu, nikageuka nyuma kuangalia huku na huko, sikuona mtu ananifuata nikaendelea na safari yangu.
Sasa nimesogea sogea hadi katikati ya makaburi, kwa mbele nikaona kitu kama mbuzi mweupe, lakini kilichonishangaza na kunitia hofu ni kwamba yule mbuzi alikuwa kama vile amekaa kwenye kitu anavuta sigara, nikafikicha macho kama vile siamini ninachokiona.
Nikaendelea kusogea taratibu ili nihakikishe kuwa ninachokiona ni chenyewe au.
Kusogea nikasikia mbuzi anakohoa, ikabidi nigeuke ili nitoke nduki maana niliona pale hata karate zangu haziwezi kunisaidia.
Sasa wakati nageuka nikaona nyuma yangu kuna kundi la watu wamebeba jeneza wanakuja upande wangu halafu juu ya jeneza kuna mtu kakaa na yeye anavuta fegi, halafu kila jamaa wakipiga hatua, yeye anajamba.
Nikaona nyuma hakufai bora huku huku nilipotaka kupakimbia. Nikageuka na kuanza kutoka nduki kuelekea kwa mbuzi anaevuta sigara. Ghafla nikaona na mbuzi na yeye anatoka nduki na sigara yake.
Akili ikanijia nikaacha kukimbia ule upande anakimbilia mbuzi, nikaelelea upande wangu.
Breki ya kwanza ikawa Magomeni Mapipa, yani sikumbuki hata mikumi home nilipapita saa ngapi, au kule Mapipa nilifika fikaje fikaje.
Nikarudi nyumbani salama. Toka siku hiyo sikurudi tena kwenda video usiku, na ukawa mwisho wa kuendekeza movie.
Ni nani mwngine ambae ashawahi kukumbana na songombingo la aina hiyo?
Aisee it was scary
Umeandika ukweli ambao ni watu wachache sana tunaukubali na kuufahamu.watu wengi watabeza ila aslmia kubwa wanaish sehem zlotulia na sa3 4 wapo ndan uez kuona mamb ya ajab ajab ila si mapopo tunaozirirag sana sa8 ad 9 mda mwngne yan usik kam mchana vtu vya ajab kuktan navy ni sn tu ht uy anaekwmbia ulaya wanatuona sjui atjaendelea ulaya vtu vya ajab ni vng mno ht movie zao wanachkua hadith sahih kweny horor movie au datv kuna vpnd cbs reality discover id wanavpnd wanaend swhem za kutisha kutafta ghost
Bora hata yalivyokuwa hayaonekani maana yangeonekana ingekuwa balaaYapo sana tu, sema kwa vile ni mambo ya giza basi hakuna wa kuya report wala kuyafuatilia.
👍Kweli kabisa brother.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa alikuwa navuta huyu sio bureManina nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23] una uhakika ulikuwa huvuti ?
We WA wapi ?mimi nilishawahi pata mauzamauza nikiwa moja ya shule kongwe kabisa iliyopo moshi, aisee nilitoka dom ghorofani usiku wa manane kujisaidia vyoo vya nje chini kwa pembeni ya dom kuna laundry sasa siku hiyo umeme umekatika na usiku giza nene na mvua...aloo ile nakojoa nikashangaa naingiwa na hofu mpaka mwili na nywele kusimimika aloo ile kugeuka naona mrefu pembeni yangu kavaa kanzu huku kashika ubao wa square hivi kama bango mwekundu...
Aloo nilipagawa nikimshika nashika hewa, hapo hata mkojo sikumaliza nikasema nisepe nipande gorofani kabla hata sijamaliza kutoka mbio na giza lote usiku namuona mbele yangu tena...dah nilipaniki sema uzoefu ulinisaidia maana giza la usiku nilipanda ngazi ghorofani mbio sio kitoto mpaka kwa cubic yangu nakudandia dekani kitanda ninacholala nikajifunika gubigubi huku moyo mbio na nawazo tele hata sikujua usingizi ulinichukua saa ngapi kustuka kesho yake ilikua ni jumamosi nikawa niko kitandani nawaza kilichotokea usiku wa jana yake ni nini...sitasahau mpaka leo
a