Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 (std 2) 1994 (std 3) 1995 (std 4)

Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.

Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev (Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon

Nolstagia is real
Kumbe sio .tu mzima kivitendo, umenipa miaka 2 kuanza darasa la kwanza kwani mi nilianza 1993 nikaacha na kurudi kuchunga ng'ombe Umasaini then nikaanza rasmi 1994.

Sasa mbona unaandikaga masuala ya kizee tu humu?πŸ˜€πŸ˜€
 
Labda alichelewa kuanza shule kutokana na sababu mbali mbali. Enzi zile kuna watu walikuwa wanaanza shule wakiwa na miaka 8, 9 mpaka 10.

So labda mwamba mkubwa lkn alichelewa tu kuanza school. Hayo ni mawazo yangu, wala simjibii ulichoandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…