Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

You tube wao hawamlipi muweka video.

Ila kama umekidhi vigezo vyao e.g kuthibitisha wewe ndiye mmiliki wa product husika au umepewa/umenunua haki kutoka kwa mmiliki halisi, na una akaunti ya adsense, hapo video zako zitaingiza pesa kutoka kwa watakaoweka matangazo kwenye Video yako na iwe Mtazamaji awe ame click tangazo hilo.

Hivyo ukiwa na Video nyingi na Watazamaji wengi una nafasi kubwa zaidi ya kupata chochote.
 
Huyo dogo muongo, ,,angekuwa analipwa ela iyo kwa mwezi nadhani asingekaa kwenye kijumba alichonunua diamond kule kunduchi uswazi palipokuwa machimbo ya mawe,,,,
 
They pay for content. Sababu hiyo content ndo wanatumia kwa matangazo yao. Kwa hiyo number of views zilikiwa milioni ina maana matangazo yao yamekuwa viewed mara kadhaa. Matangazo huwa yanatokea mwanzoni mara nyinngi kama ni wimbo mfupi. Kama na video ndefu huwa yanaweza tokea mara kibao wakati wa kucheza content. Mfano ni content za Millard Ayo. Huwa zinakuwa ndefu..More than 10 minutes. Sasa kwenye case ya views 1m, in best Case scenario inaweza ikawa ni mara milioni tangazo limeonyeshwa inategemea na jinsi gani lipo relevant kwa audience.. Sasa imagine advertiser analipa 0.01 dola per view na hii kwa content tu ya kawaida. Inategemeana na jina la msanii inaweza kuwa more than hapo. Ina maana wanaweza wakaingiza dola 10,000 kwa views milioni moja. Hapo mtengenezaji wa content analipwa pasu yake. Kwa hiyo hesabu ya dola 3500 inawezekana kabisa..Lakini sidhani kama ni kila mwezi inawezekana ni kwa ngoma mpya tu kwa hiyo zitatrend kwa muda fulani kabla ya views ku stabilize. Maana Harmonize hana ngoma nyingi sana. Ila kama tuseme atleast watu elfu kumi wakiangalia ngoma zake daily kwa mwezi wanaweza anagalia watu 300000. Na matangazo ya Tanzania niliyoyaona so far ni la TIgo, Voda, na Total. Kwa hiyo it is very possible kwamba hizi kampuni zinalipa milions of money kwa Google. Kama that is the case basi wasanii wanaotazamwa sana ni hao wa WCB. Na ndo wanaongoza kwa content zinazovutia viewers wengi. Mtu mwingine anayeweza akawa anapata mshiko mrefu ni millard ayo naye ana content nyingi sana ambayo inavutia local viewers
 
Mtu analipwa kutokana na mtumiaji wa hiyo yutubu kubonyeza tangazo fulani au kwa huyo mtumiaji kuangalia hilo tangazo kwa sekunde 30

Swali je mara ngapi twaangalia yale matangazo?
Je mara ngapi twayabonyeza?
Mtu anaweza akawa na views 10mil ila hajawahi lipwa sababu hakuna aliekua interested na tangazo kabla ya video yake
 
matangazo mengi ya local mi naangaliaga. Ila ya nje kuna mbayo na skip. Kuna megine yanakuwaga interesting nayaaangalia tu hata kama bidhaa haina relevance kwangu. Na siamini katika 10 millioni views wasipatikane hata laki moja waliovutiwa na tangazo..Nafikiri rule of the thumb ni kwamba between 1-10 percent of views zitaangalia tangazo...Na kama tangazo ni more engaging number inaweza kwenda mpaka 20 %. ..
 
Uyu dogo ana akili sana anajua kabisa kuna vilaza ambao wanamuani na kweli wamemuamini [emoji23][emoji23] siku zote ukijua udhaifu wa wanao kuzunguka ni rahisi sana kuwaburuza.
Wizkid ana 10 million viwers ndani ya 3 weeks kwa ngoma yake ya come closer sijui atalipwa nini kwa mwezi [emoji23][emoji23] kama Harmonize analipwa $ 3500 nawaza tu lakini nikiwa nampongeza msanii wetu Harmonize safi sana kijana.
 
Wengi humu ni wivu.com

Si mkasome kwenye mtandao wao mjue lipi linajiri.
 
$3,500 Siyo ya kuendesha magari ya kifahari boss...

Kirikuu tu...

Ila nampongeza na nina amini hiyo inaingia kwa account yake na inaweza kumuwezesha kupata mengi zaidi but awe katika game kwa zaidi ya miezi sita bila kupungua bank wamuelewe...

Any way watakuwa wanamuelewa simply awe regit ataendesha magari ya kifahari but si kwamba yeye ni mbingwa zaidi chief...

Wavumao baharini Papa na nyagumi wamo....

Na nyie mnamsema Harmonize m relax atii
 
Yeah sina uhakika zaidi ni namna gani.... lakini wanalipa..

Sababu waeza kuona zile video uki play unafika pahala unakuta tangazo na unapewa option ku skip aka kuendelea like so...

Wale wenye matangazo lazima watakuwa wanalipa boss....

Jaribu kufuatilia
 
Wanalipa. Hata millard analipwa, ameshawahi kusema.

Get time to learn some stuffs, its free
 
Ni kweli unalipwa... hilo halina shaka!!! Hata hivyo, unless utaratibu uwe umebadilika, haulipwi kutokana na idadi ya views kama ambavyo watu wanadhani ingawaje kadri namba ya views inavyoongezeka, kuna UWEZEKANO wa kulipwa zaidi... but not guaranteed!

Kimsingi unalipwa kutokana na matangazo... maarufu kama Google adsense! Kwa mfano, ukifungua tu Youtube video unakutana na tangazo ambalo unaambiwa "Skip after....!" Sasa yale matangazo kuna duration yake! Ukiangalia hadi "xyz" seconds bila ku-skip; kuna mpunga unaingia! Na uki-click lile tangazo, kuna mpunga unaingia!!!

Hata hivyo, ni hadi Youtube channel yako iwe imewezeshwa! Lakini vile vile, kutegemeana na target audience, tangazo lile lile lililokuwa clicked kwa mfano South Africa litakuingizia kiasi tofauti cha $$$ kama linakuwa clicked Tanzania!!!

Don't think people are fool wanatengenezea hadi shot video na kuzi-post Youtube!!! Kama kuna wengine wanafanya hivyo kwa kuuza sura, wengine wanafanya for $$$$$$!!!!
 
Commissioner for tax ammulike tupate income tax yetu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…