FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
You tube wao hawamlipi muweka video.Hivi u.tube kweli hua wanalipa?? Dunia ina wasanii wangapi wanaolipwa na you tube...
Mfano wiz khalifa sound track ya see u again..ilikuwa na viewers 1.2 billion..je ilimuingizia kipato cha sh ngapi??
Mfano millado Ayo na segment yake ya subscribe..anapata sh ngapi kwa mwezi
Mimi naona kuna uongo mwingi kwenye hii issue ya you tube kulipa watu
Ila kama umekidhi vigezo vyao e.g kuthibitisha wewe ndiye mmiliki wa product husika au umepewa/umenunua haki kutoka kwa mmiliki halisi, na una akaunti ya adsense, hapo video zako zitaingiza pesa kutoka kwa watakaoweka matangazo kwenye Video yako na iwe Mtazamaji awe ame click tangazo hilo.
Hivyo ukiwa na Video nyingi na Watazamaji wengi una nafasi kubwa zaidi ya kupata chochote.