HELA
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 200
- 192
Mkuu umeandika mengi sana...kuna vitu umeongea ukweli ila kukubaliana naye kuwa anaingiza huyo hela hicho kitu hakuna.They pay for content. Sababu hiyo content ndo wanatumia kwa matangazo yao. Kwa hiyo number of views zilikiwa milioni ina maana matangazo yao yamekuwa viewed mara kadhaa. Matangazo huwa yanatokea mwanzoni mara nyinngi kama ni wimbo mfupi. Kama na video ndefu huwa yanaweza tokea mara kibao wakati wa kucheza content. Mfano ni content za Millard Ayo. Huwa zinakuwa ndefu..More than 10 minutes. Sasa kwenye case ya views 1m, in best Case scenario inaweza ikawa ni mara milioni tangazo limeonyeshwa inategemea na jinsi gani lipo relevant kwa audience.. Sasa imagine advertiser analipa 0.01 dola per view na hii kwa content tu ya kawaida. Inategemeana na jina la msanii inaweza kuwa more than hapo. Ina maana wanaweza wakaingiza dola 10,000 kwa views milioni moja. Hapo mtengenezaji wa content analipwa pasu yake. Kwa hiyo hesabu ya dola 3500 inawezekana kabisa..Lakini sidhani kama ni kila mwezi inawezekana ni kwa ngoma mpya tu kwa hiyo zitatrend kwa muda fulani kabla ya views ku stabilize. Maana Harmonize hana ngoma nyingi sana. Ila kama tuseme atleast watu elfu kumi wakiangalia ngoma zake daily kwa mwezi wanaweza anagalia watu 300000. Na matangazo ya Tanzania niliyoyaona so far ni la TIgo, Voda, na Total. Kwa hiyo it is very possible kwamba hizi kampuni zinalipa milions of money kwa Google. Kama that is the case basi wasanii wanaotazamwa sana ni hao wa WCB. Na ndo wanaongoza kwa content zinazovutia viewers wengi. Mtu mwingine anayeweza akawa anapata mshiko mrefu ni millard ayo naye ana content nyingi sana ambayo inavutia local viewers
Kwa nature ya channel yake ...ukiangalia number ya views wake.. Wote kwa ujumla hawawezi kufikisha kiasi hicho cha pesa.mbaya zaid viewers wake wengi ni wa hapa Bongo.