Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

They pay for content. Sababu hiyo content ndo wanatumia kwa matangazo yao. Kwa hiyo number of views zilikiwa milioni ina maana matangazo yao yamekuwa viewed mara kadhaa. Matangazo huwa yanatokea mwanzoni mara nyinngi kama ni wimbo mfupi. Kama na video ndefu huwa yanaweza tokea mara kibao wakati wa kucheza content. Mfano ni content za Millard Ayo. Huwa zinakuwa ndefu..More than 10 minutes. Sasa kwenye case ya views 1m, in best Case scenario inaweza ikawa ni mara milioni tangazo limeonyeshwa inategemea na jinsi gani lipo relevant kwa audience.. Sasa imagine advertiser analipa 0.01 dola per view na hii kwa content tu ya kawaida. Inategemeana na jina la msanii inaweza kuwa more than hapo. Ina maana wanaweza wakaingiza dola 10,000 kwa views milioni moja. Hapo mtengenezaji wa content analipwa pasu yake. Kwa hiyo hesabu ya dola 3500 inawezekana kabisa..Lakini sidhani kama ni kila mwezi inawezekana ni kwa ngoma mpya tu kwa hiyo zitatrend kwa muda fulani kabla ya views ku stabilize. Maana Harmonize hana ngoma nyingi sana. Ila kama tuseme atleast watu elfu kumi wakiangalia ngoma zake daily kwa mwezi wanaweza anagalia watu 300000. Na matangazo ya Tanzania niliyoyaona so far ni la TIgo, Voda, na Total. Kwa hiyo it is very possible kwamba hizi kampuni zinalipa milions of money kwa Google. Kama that is the case basi wasanii wanaotazamwa sana ni hao wa WCB. Na ndo wanaongoza kwa content zinazovutia viewers wengi. Mtu mwingine anayeweza akawa anapata mshiko mrefu ni millard ayo naye ana content nyingi sana ambayo inavutia local viewers
Mkuu umeandika mengi sana...kuna vitu umeongea ukweli ila kukubaliana naye kuwa anaingiza huyo hela hicho kitu hakuna.

Kwa nature ya channel yake ...ukiangalia number ya views wake.. Wote kwa ujumla hawawezi kufikisha kiasi hicho cha pesa.mbaya zaid viewers wake wengi ni wa hapa Bongo.
 
Mkuu umeandika mengi sana...kuna vitu umeongea ukweli ila kukubaliana naye kuwa anaingiza huyo hela hicho kitu hakuna.

Kwa nature ya channel yake ...ukiangalia number ya views wake.. Wote kwa ujumla hawawezi kufikisha kiasi hicho cha pesa.mbaya zaid viewers wake wengi ni wa hapa Bongo.
Naona jamaa kaeleza vizuri ukakosa point ukabaki kuongea pumba tu......wivu.com utawamaliza
 
Kama kawaida ya wabongo wenye chuki zao kuponda hata kama kitu hawakielewi,kasema analipwa $ 2,800 -3,500 kwa mwezi na ni kweli youtube huwa wanalipa pesa sasa wewe UAMINI AU USIAMINI yeye hayamuhusu wala hajasema lazima uamini kwa sababu anafanya muziki kwaajili ya maisha yake na si yako. Lakini pia kama wewe unabisha hebu mutuambie basi vyanzo vyake vingine vya mapato ni vipi zaidi ya muziki ...??


 
Afanye collabo na harmorapa mzee wa kiki mauzo
 
Aache uongo akawadanganye ambao hawazijui hesabau za youtube
Et dollar 3500
Sema vyanzo vingne mkuu ila kiukwel kwako wewe youtube haiwez kukulipa ivo maana
huna video za kutosha
Views zako n za kawaida
 
Hizo ni Fix tupu. Ni kamba za kawaida za wasanii wa bongo, ni uongo mtupu.

Kama kweli, basi aje atuoneshe Risiti za malipo ya TRA, maana katika malipo ya dola3500 basi TRA watatakiwa kulamba wastani wa 20% ambayo ni kama dola 700 ambayo kwa pesa za Tanzania ni kama 1.5Milioni kila mwezi.

Halafu ukishaona tu msanii anatoa wimbo halafu badala ya kuanza kupiga show zake Dar , Arusha au Mwanza yeye anakimbilia huko porini porini kama Mtwara nk ujue ngoma imebuma hiyo, hali ni tete, ni mwendo wa kuunga unga.
 
Vp Chibu hamjamuunganisha kwenye secret society?
 
Maisha halisi ya msanii wa kitanzania yanajulikana pale atakapofariki..

Tuwaombee waendelee kuishi vijana wetu hawa!
akifariki huyu hata nauli ya kumrudisha Mtwara itakosekana.
 
duuuuuh mzee kiukweli hiyo kamba youtube inamshahara gan wa kuwalipa wanamuziki wote duniani
 
Tatizo leo Wabongo wengi wana fake life style, dollar 3,500 kwa album Ipi hiyo iliyohit kiasi hicho? Sina wimbo hata mmoja ninao ufahamu wa huyu mtu? Hv muziki ni rahisi hivyo? ? Kama ni kweli basi ni jambo jema sana
 
Back
Top Bottom