Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

Hivi huyu dogo Ana nyimbo gani mbona Mimi sijawahi kumuelewa... ??
 
Hivi sasa najiuliza, wao wasanii wenyewe akiunda Timu yake akawapatia bundles za kutosha kila siku ana view matangazo Kwny video zake walau hizo sekunde 30, si kuna uwezekano mkubwa wa kupiga sana hela? ?
 
AYoooo[emoji109] [emoji109] [emoji109] Nakuonaaa.
 
Ile ni tour inaanzia mkoani mtwara......happy birthday ni ngoma inayokimbiza sana kitaa.....chuki zako ebu zi r.I.p kidogo
 
teh
 
Mzee nilikwepa umande hio dola3500 ndo shingapi vjana
 
Lile shindano la bongo star search bora life kabisa maana limekatisha ndoto nzuri za vijana ambao walikuwa wana uwezo ila hawakuwa wana jiamini, majaji wana majibu ya shombo, majibu ya nyodo na dharau wakati hao wanao wakubali na kupata ushindi wanaishia hapohapo kwenye shindano, huyu jamaa alivyoambiwa ma master Jay HAJUI kuimba atafute kazi nyingine kama angeamini hivyo leo asinge kuwa hapa alipo.. hongera Hamo kwa kuamini kipaji chako.
 
Aisee youtube wanalipa ktk mfumo ambao kwa kiswahili tunaita Mrahaba... Hata wewe ukifungua account a ukapost content yyt ambayo itakamata attention ya viewers utalipwa tu. Wanacholipa youtube ni sehemu tu ktk pesa ambayo wao youtube wanalipwa na makampuni yanayotangaza kupitia youtube. Kwa hy swala la kulipa hilo halina utata, ni swala la wewe kujua jinsi ya kukamata viewers. Huyo Wiz Kharifa atalipwa anachostahili na Harmonize nae analipwa kilicho haki yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…