Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sasa najiuliza, wao wasanii wenyewe akiunda Timu yake akawapatia bundles za kutosha kila siku ana view matangazo Kwny video zake walau hizo sekunde 30, si kuna uwezekano mkubwa wa kupiga sana hela? ?Mtu analipwa kutokana na mtumiaji wa hiyo yutubu kubonyeza tangazo fulani au kwa huyo mtumiaji kuangalia hilo tangazo kwa sekunde 30
Swali je mara ngapi twaangalia yale matangazo?
Je mara ngapi twayabonyeza?
Mtu anaweza akawa na views 10mil ila hajawahi lipwa sababu hakuna aliekua interested na tangazo kabla ya video yake
AYoooo[emoji109] [emoji109] [emoji109] Nakuonaaa.They pay for content. Sababu hiyo content ndo wanatumia kwa matangazo yao. Kwa hiyo number of views zilikiwa milioni ina maana matangazo yao yamekuwa viewed mara kadhaa. Matangazo huwa yanatokea mwanzoni mara nyinngi kama ni wimbo mfupi. Kama na video ndefu huwa yanaweza tokea mara kibao wakati wa kucheza content. Mfano ni content za Millard Ayo. Huwa zinakuwa ndefu..More than 10 minutes. Sasa kwenye case ya views 1m, in best Case scenario inaweza ikawa ni mara milioni tangazo limeonyeshwa inategemea na jinsi gani lipo relevant kwa audience.. Sasa imagine advertiser analipa 0.01 dola per view na hii kwa content tu ya kawaida. Inategemeana na jina la msanii inaweza kuwa more than hapo. Ina maana wanaweza wakaingiza dola 10,000 kwa views milioni moja. Hapo mtengenezaji wa content analipwa pasu yake. Kwa hiyo hesabu ya dola 3500 inawezekana kabisa..Lakini sidhani kama ni kila mwezi inawezekana ni kwa ngoma mpya tu kwa hiyo zitatrend kwa muda fulani kabla ya views ku stabilize. Maana Harmonize hana ngoma nyingi sana. Ila kama tuseme atleast watu elfu kumi wakiangalia ngoma zake daily kwa mwezi wanaweza anagalia watu 300000. Na matangazo ya Tanzania niliyoyaona so far ni la TIgo, Voda, na Total. Kwa hiyo it is very possible kwamba hizi kampuni zinalipa milions of money kwa Google. Kama that is the case basi wasanii wanaotazamwa sana ni hao wa WCB. Na ndo wanaongoza kwa content zinazovutia viewers wengi. Mtu mwingine anayeweza akawa anapata mshiko mrefu ni millard ayo naye ana content nyingi sana ambayo inavutia local viewers
Ile ni tour inaanzia mkoani mtwara......happy birthday ni ngoma inayokimbiza sana kitaa.....chuki zako ebu zi r.I.p kidogoHizo ni Fix tupu. Ni kamba za kawaida za wasanii wa bongo, ni uongo mtupu.
Kama kweli, basi aje atuoneshe Risiti za malipo ya TRA, maana katika malipo ya dola3500 basi TRA watatakiwa kulamba wastani wa 20% ambayo ni kama dola 700 ambayo kwa pesa za Tanzania ni kama 1.5Milioni kila mwezi.
Halafu ukishaona tu msanii anatoa wimbo halafu badala ya kuanza kupiga show zake Dar , Arusha au Mwanza yeye anakimbilia huko porini porini kama Mtwara nk ujue ngoma imebuma hiyo, hali ni tete, ni mwendo wa kuunga unga.
HahahaIla watu tunatofautina
Huyu dogo sjawahi kumuelewa hata kwenye ngoma moja...
Sjui kwann
Doctor mwakaDoctor wa wap?????
tehHivi u.tube kweli hua wanalipa?? Dunia ina wasanii wangapi wanaolipwa na you tube...
Mfano wiz khalifa sound track ya see u again..ilikuwa na viewers 1.2 billion..je ilimuingizia kipato cha sh ngapi??
Mfano millado Ayo na segment yake ya subscribe..anapata sh ngapi kwa mwezi
Mimi naona kuna uongo mwingi kwenye hii issue ya you tube kulipa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Doctor mwaka
Me tooIla watu tunatofautina
Huyu dogo sjawahi kumuelewa hata kwenye ngoma moja...
Sjui kwann
Aisee youtube wanalipa ktk mfumo ambao kwa kiswahili tunaita Mrahaba... Hata wewe ukifungua account a ukapost content yyt ambayo itakamata attention ya viewers utalipwa tu. Wanacholipa youtube ni sehemu tu ktk pesa ambayo wao youtube wanalipwa na makampuni yanayotangaza kupitia youtube. Kwa hy swala la kulipa hilo halina utata, ni swala la wewe kujua jinsi ya kukamata viewers. Huyo Wiz Kharifa atalipwa anachostahili na Harmonize nae analipwa kilicho haki yake.Hivi u.tube kweli hua wanalipa?? Dunia ina wasanii wangapi wanaolipwa na you tube...
Mfano wiz khalifa sound track ya see u again..ilikuwa na viewers 1.2 billion..je ilimuingizia kipato cha sh ngapi??
Mfano millado Ayo na segment yake ya subscribe..anapata sh ngapi kwa mwezi
Mimi naona kuna uongo mwingi kwenye hii issue ya you tube kulipa watu