Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa waweke vijiko vingapi? Maana chapati ukiinyima wese au butter itatoa mlio ukimega kama umevunja kijiti 😂Aisee bora kuliko chapati
Chapati za dar zimeinishinda
Chapati moja vijiko vitatu vya mafuta
Kande ikiwa haina mchuzi mwingi ndo balaa zaidi kama umekula zege.... Masai Dada kaipika vizuri ni standard mnoGenZ wanaweza sema unakunywa chai na kokoto..😝
Juzi tu Dokta umetoka kupondea Mahindi yanadumaza akili, Leo Dokta unasema ni mlo mzuri.ni mlo mzuri
sema una nishati nyingi
unene nje nje
Hicho kikombe kina nini na hayo makande yameungwa kwa viungo gani?
Meza vipi?
mahindi yana nishati nyingi hasa yakikobolewa tuyale kistaarabuJuzi tu Dokta umetoka kupondea Mahindi yanadumaza akili, Leo Dokta unasema ni mlo mzuri.
Dokta acha bhasi, Mbona hivi ?
Sawa Dokta Mwaka Jr.mahindi yana nishati ninyi hasa yakikobolewa tuyale kistaarabu
Duh😁 kwan we ni mpare? Samahan lakini
"GOAT" Umemaanisha nini mkuu?Huyo hana mpinzani
Huyo mimi mwenyewe kwa kuwa sili nyama
Ni top3 ya chakula bora cha wakati wote
“GOAT”