Hiki ndo kifungua kinywa changu

Hiki ndo kifungua kinywa changu

Omba usipate kikao cha dharura wakati ukiwa umekula hiyo. 😂 Kila muda utaenda kupokelea simu pembeni.
 
Omba usipate kikao cha dharura wakati ukiwa umekula hiyo. 😂 Kila muda utaenda kupokelea simu pembeni.
 
Nimenona sana
Napungua
Nakula kwa kias sanaa
Yaani kwa uchache mno
But lately nyama ilikuja tu kunishinda
Haswa mafuta
Duh pole,unakosa utamu,Fanya mazoezi ili ubalance na nyama utupie kama kawaida
Bado kidogo nikuite jumamosi mnada wa kibaha uje kula nyama,ningeingia Cha kike
 
Back
Top Bottom