Hiki Ni Kikao Cha Wanaume, Mwanamke Usije..!!

Hiki Ni Kikao Cha Wanaume, Mwanamke Usije..!!

Yani huu ni ugonjwa kweli wadau mi nakaaga maskani na wadau macho kuona wenzangu yani wadada wanavyopitapita najiskia amani kweli yani macho yakionaona tu naisi kuna vitamin flani vinaongezeka mwilin hivi unaweza ukamwona mdada kwa mbaali anakuja yani mwili akili inajiandaa kuona kitu kizur sasa bahati mbaya abadilishe njia nafadhaika kichiz yani naona
Haahhaha yaani automatic ndo inavyokuwa , Wengi tupo ivyo
 
Ingekuwa si hivyo usingezaliwa wewe.

Ushawahi kujiuliza kama k ingekuwa inaunguza kama moto watoto wangapi wangezaliwa?
Ngoja tuendelee kufyatua vifaranga tu
 
Kwenye ubora wako.... Na mabint dam dam.
 
Back
Top Bottom