jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
tutafanyaje sasa na ishakua hvyo mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahhaha yaani automatic ndo inavyokuwa , Wengi tupo ivyoYani huu ni ugonjwa kweli wadau mi nakaaga maskani na wadau macho kuona wenzangu yani wadada wanavyopitapita najiskia amani kweli yani macho yakionaona tu naisi kuna vitamin flani vinaongezeka mwilin hivi unaweza ukamwona mdada kwa mbaali anakuja yani mwili akili inajiandaa kuona kitu kizur sasa bahati mbaya abadilishe njia nafadhaika kichiz yani naona