Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

Bora hao kuliko Wale wa kuandika jomoni,bhana,xaxa,p,pouwah. Me akiandika maneno hayo kwenye text message naacha kuchat nae hapo hapo.
Na wewe unapata wapi muda wa kuchat na mwanaume mwezako.

Baada ya kupigiana simu muongee mambo ya msingi mnapoteza muda kwenye kuchat
 
Na wewe unapata wapi muda wa kuchat na mwanaume mwezako.

Baada ya kupigiana simu muongee mambo ya msingi mnapoteza muda kwenye kuchat
mkuu wapi nimeandika kuwa nachat Na mwanaume mwenzangu mbona unanilisha maneno.
 
Na wewe ni walewale, andika vizuri
 
Leo asubuhi kuna jamaa yangu toka ukelewe aliniandikia:- VIPI MUMEHENDA MAZOHEZINI .
Vipi hapo kwenye "Ukelewe" unadhani na wewe upo sahihi!!! kua makini katika kukosoa watu kumbe hata wewe ulifeli kwenye irabu na silabi hujui L & R zinatumikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…